Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
- Thread starter
- #1,061
Hichi ndicho ulichokiandikaNilichokisema mimi ni hiki " Kwa kile kinachodaiwa kuwa ni jibu kutoafikiana na jibu sahihi ambalo ninalo."
Ukichokiandika wewe ni hiki : "Wewe umekubali kua hoja yangu kutoafikiana na hoja yako haifanyi hoja yako kua jibu sahihi?"
Hapana usinizushie jibu langu katika hoja yako hiyo hapo juu haikuwa hii
Nilijibu hivi
Kutoafikiana kwa jibu lako na hoja yangu maana yake hoja yangu haiafikiani na yako, nasio kwamba jibu lako nisahihi kwasababu haiafikiani na hoja yangu
Ungekua unaniheshimu usingenizushia uongo kwamba jibu ulilonukui hapo ndio jibu ambalo nilikujibu kwenye hiyo hoja yakoSasa unatakiwa ifikie hatua tuheshimiane kijana, kamwe hafanani na hajawahi kufanana anae jua na asie jua.
Kwa mtindo huu ndio maana unasema hujajibiwa maswali yako.
Ahsante.
Nakukumbusha maswali yangu bado ni yale yale
Unajuaje kua hali halisi ambayo ipo katika mazingira yetu sio conspiracy theory iliyotungwa na watu ili kuifanya kuran ionekane ni kitabu cha mungu??
It's Scars