UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Sawa sawa na hapo ndiyo palipo na utofauti wa habari za spiderman na habari za Mungu.Nataka kujua kwasababu dini imesema huyo mungu ndio chanzo cha kila kitu ikiwemo na mimi
Sasa ni jamno jema kujua chanzo changu na ndio maana nahoji uthibitisho wake ili nami nijue
Nithibitishie mungu yupo, ukifanya hivyo utakuakua umeniongezea maarifa ambayo tangu nizaliwe sijawahi kuyapata
It's Scars
Habari za spiderman zimebuniwa kwa ajili ya movie na zinaishia huko huko kwenye hakuna anayedai uwepo wa spiderman nje ya movie na ndiyo maana hakuna anayetaka uthibitisho.
Nafikiri kwenye hili la utofauti tumeelewana?