Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Nataka kujua kwasababu dini imesema huyo mungu ndio chanzo cha kila kitu ikiwemo na mimi

Sasa ni jamno jema kujua chanzo changu na ndio maana nahoji uthibitisho wake ili nami nijue

Nithibitishie mungu yupo, ukifanya hivyo utakuakua umeniongezea maarifa ambayo tangu nizaliwe sijawahi kuyapata

It's Scars
Sawa sawa na hapo ndiyo palipo na utofauti wa habari za spiderman na habari za Mungu.
Habari za spiderman zimebuniwa kwa ajili ya movie na zinaishia huko huko kwenye hakuna anayedai uwepo wa spiderman nje ya movie na ndiyo maana hakuna anayetaka uthibitisho.

Nafikiri kwenye hili la utofauti tumeelewana?
 
Kwani dua gani ambayo imeweza kuleta dawa ya ukimwi na corona?

Na sio ukimwi tu bali kumbuka kuna kansa nayo inasumbua watu, hizo dua zimesaidia nini kutokomeza

It's Scars
Kwani kuna watu walioomba dua ya kupata dawa za hayo magonjwa?
 
Sawa sawa na hapo ndiyo palipo na utofauti wa habari za spiderman na habari za Mungu.
Habari za spiderman zimebuniwa kwa ajili ya movie na zinaishia huko huko kwenye hakuna anayedai uwepo wa spiderman nje ya movie na ndiyo maana hakuna anayetaka uthibitisho.

Nafikiri kwenye hili la utofauti tumeelewana?

Hoja yako haina mashiko yeyote, kwasababu hata mungu habari zake zipo kwenye movies na bado tunamjadili

Kwanini tunamjadili mungu ambaye habari zake zipo kwenye movies? Unahakika gani kwamba mungu huyo sio wakufikirika kama spiderman ambaye umesema hayupo kihalisia?

Yani ni sawa na kumkataa RAMBO kua hayupo kwa kigezo kua habari zake ziko kwenye movie tu na zinaishia huko huko kwasababu RAMBO hayupo kihalisia kitu ambacho ni zaidi ya ujinga

Wewe kama umejua kua spiderman halisia kwasababu amebuniwa kwenye movie, kwanini mungu awe halisia wakati habari zake zipo kwenye movie??

Hoja yangu ni kupinga kufananisha habari za Mungu na spider,hapo ndipo nasimamia mimi. Nimesema habari za spiderman zimebuniwa kwa ajili ya movie na habari zake zinaishia kwenye movie na ndiyo wewe huitaji uthibitisho.
 
Kwanini utumie kigezo cha movie kuonesha spiderman kabuniwa wakati hata mungu habari zake zipo kwenye movies?

Inamaana habari za vitabuni haziwezi kua za uongo?

Nimesema habari za spiderman zinaishia katika movie hakuna anayedai uwepo wake nje ya movie,kwahiyo ishu sio kuwepo kwenye movie bali hakuna madai ya uwepo wake katika uhalisia na movie ni maigizo. Mfano kwenye movie wanaweza kuigiza rais wa Tz ni muhindi lakini ni maigizo tu hakuna madai ya rais muhindi Tz hivyo.

Sizungumzi kwanza suala la ukweli au uongo
 
Unajuaje kua hakuna aliyedai uthibitisho?

Na hata kama ni kweli kua hakuna aliyedai, kwanini kutodai huko kulete maana kwamba kitu hicho hakipo na sio maana nyingine?

Unajuaje kwamba watu hawajadai uthibitisho wa uwepo wake na ni kwasababu kitu hicho kipo na kishathibitishwa na ndio maana hawaombi kupewa uthibitisho?

It's Scars
 
Si kweli sio kila mtu kazaliwa,hiyo inakuwa suala la kuku na yai.
Ni sahihi pia kwasababu kuna watu wamezaliwa lab kwa cloning au upandikizaji bila njia ya ngono

Hiyo pia inakosoa ile kauli ya dini inayotumika sana kwenye mazishi kua
"mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake si nyingi nazo hizo zimejaa tabu tupu"

It's Scars
 
Unajuaje kua hakuna aliyedai uthibitisho?

Na hata kama ni kweli kua hakuna aliyedai, kwanini kutodai huko kulete maana kwamba kitu hicho hakipo na sio maana nyingine?

Unajuaje kwamba watu hawajadai uthibitisho wa uwepo wake na ni kwasababu kitu hicho kipo na kishathibitishwa na ndio maana hawaombi kupewa uthibitisho?

It's Scars
Maswali hayo jiulize wewe kwanza ambaye unasema Mungu hayupo hathibitishiki na ndiyo ukasema ni sawa habari za spiderman kwamba habari zao hathibitishiki ni masimulizi tu.

Mimi sijasema hakuna spiderma bali hakuna aliyedai uwepo wake katika maisha halisi nje ya movie,hivyo habari zake zinaishia kwenye movie maana ndiyo zilizopo.
 
Ni sahihi pia kwasababu kuna watu wamezaliwa lab kwa cloning au upandikizaji bila njia ya ngono

Hiyo pia inakosoa ile kauli ya dini inayotumika sana kwenye mazishi kua
"mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake si nyingi nazo hizo zimejaa tabu tupu"

It's Scars
Na lazima watakuwepo ambao hawajazaliwa wala kupatikana lab ambao ndiyo chanzo cha binaadamu kuanza kuzaliana.
 
Karama za Mungu hutolewa kama vile Roho Mtakatifu apendavyo, ni makosa makubwa sana kuhusisha karama hizi kama mali za watu binafsi. Tuepuke kumkufuru Roho Mtakatifu, kwa kuwa dhambi zote mtu husamehewa isipokuwa dhidi yake.

Ya Kaisari tumpe Kaisari, na yale ya Mungu tumpe Mungu. Ingawaje kimbilio la tiba ya COVID-19 linaonekana kupitia sayansi na teknolojia, lkn hakika Mungu ndiye mponyaji. Gonjwa hili limekuja kwa wakati na makusudi yake, pengine liwe sababu ya wengi kufanya kufuru na hata kuzidi kuanguka dhambini na kuangamia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom