Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina utaratibu huo wa kujibu tu maswali kama tupo chumba cha mtihani,nimetaka kuelewa sababu ya kuniuliza hilo swali.Utaelewa tu, we jibu
Haya nieleweshe.Lengo kuu ni kukuelewesha
Kanusha yale aliyosema Mungu? ili iaminike kuwa hayupo na ni Maandishi ya watu wajanja,Thibitisha mungu yupo acha kuhubiri
Akili yangu .Yale uliyoyasema hujayathibitisha kua ni kwa namna hani umejua yamesema ukweli
Au Qur-an ilitangulia kusema kuwa Juwa lina zunguka na dunia inazunguka ,kabla wanascience hawajasema kauli hii waliamini kuwa dunia imetulia tuli na juwa ndio linaloizunguka dunia.Yale uliyoyasema hujayathibitisha kua ni kwa namna hani umejua yamesema ukweli
Ndugu yangu somaga haya maneono ya Mwenyezimungu ili uongeze maarifa wacha ubishi wa kijinga.Leo hii ukibanwa na tumbo la kuharisha utaanza kumtafuta Mungu,sikuombei mengine ,jee huoni udhaifu wetu wanadamu?Yale uliyoyasema hujayathibitisha kua ni kwa namna hani umejua yamesema ukweli
Jibu au andiko la kijinga, kama mtu hayupo hizo sperms na yai vinatoka wapi? Mtunzi hakuwa na elimuAkili yangu .
Kwani quran iliposema Tumemuumba Binadamu kwa Tone la manii(Sperm) na yai la Mwanmke (ovum) na kukaa Tumboni Miezi 6 hadi mwaka ili kuzaliwa mtoto.
.Huu si tuna juwa kuwa ni UKWELI uliekwenda sambamba na ugunduzi wa kisayansi wa karne hizi za19 na 20 na kwa hiyo tuna thibitisha kuwa Qur-an ilitangulia kusema ukweli huu kabla ya ugunduzi wa kisayansi kufanyika karne 14 zilizopita.
sasa wewe unataka kuthibitishiwa vipi?
Hizo zote ni primitive mythology tupuNdugu yangu somaga haya maneono ya Mwenyezimungu ili uongeze maarifa wacha ubishi wa kijinga.Leo hii ukibanwa na tumbo la kuharisha utaanza kumtafuta Mungu,sikuombei mengine ,jee huoni udhaifu wetu wanadamu?
jiongeze kidogo
2. Uteremsho wakitabu cha (Qur-an) umetoka kwa Mwenyezi Mungu Mwenye nguvu, Mwenye kujua (kila kitu).
3. (Mungu) Anaye samehe dhambi na anaye pokea toba, Mkali wa kuadhibu, Mwenye ukarimu, hakuna mungu ila Yeye; marejeo (ya viumbe wote walio hai) ni kwake.
4. Hawazibishi Ishara za Mwenyezi Mungu ila walio kufuru; basi kusikubabaishe wewe kutanga tanga kwao katika nchi (kwa ubabe na kiburi chao,tutawatia mkononi kwani hawana pa kukimbilia ila kwetu).
5. Kabla yao walikadhibisha kaumu ya Nuhu na makundi mengine baada yao. Na kila taifa lilikuwa na hamu juu ya Mtume wao wamkamate (ili wamuue). Na walibishana kwa upotovu ili kuipindua haki. Kwa hivyo niliwakamata. Basi ilikuwaje adhabu yangu!
We umejuaje kua ni maandiko ya munguNdugu yangu somaga haya maneono ya Mwenyezimungu ili uongeze maarifa wacha ubishi wa kijinga.Leo hii ukibanwa na tumbo la kuharisha utaanza kumtafuta Mungu,sikuombei mengine ,jee huoni udhaifu wetu wanadamu?
jiongeze kidogo
2. Uteremsho wakitabu cha (Qur-an) umetoka kwa Mwenyezi Mungu Mwenye nguvu, Mwenye kujua (kila kitu).
3. (Mungu) Anaye samehe dhambi na anaye pokea toba, Mkali wa kuadhibu, Mwenye ukarimu, hakuna mungu ila Yeye; marejeo (ya viumbe wote walio hai) ni kwake.
4. Hawazibishi Ishara za Mwenyezi Mungu ila walio kufuru; basi kusikubabaishe wewe kutanga tanga kwao katika nchi (kwa ubabe na kiburi chao,tutawatia mkononi kwani hawana pa kukimbilia ila kwetu).
5. Kabla yao walikadhibisha kaumu ya Nuhu na makundi mengine baada yao. Na kila taifa lilikuwa na hamu juu ya Mtume wao wamkamate (ili wamuue). Na walibishana kwa upotovu ili kuipindua haki. Kwa hivyo niliwakamata. Basi ilikuwaje adhabu yangu!
Unajuaje kua akili yako haijakengeuka?Akili yangu .
Kwani quran iliposema Tumemuumba Binadamu kwa Tone la manii(Sperm) na yai la Mwanmke (ovum) na kukaa Tumboni Miezi 6 hadi mwaka ili kuzaliwa mtoto.
.Huu si tuna juwa kuwa ni UKWELI uliekwenda sambamba na ugunduzi wa kisayansi wa karne hizi za19 na 20 na kwa hiyo tuna thibitisha kuwa Qur-an ilitangulia kusema ukweli huu kabla ya ugunduzi wa kisayansi kufanyika karne 14 zilizopita.
sasa wewe unataka kuthibitishiwa vipi?
Hilo kweli kabisa , shit hole continentInfact ni kwamba hakuna sector yeyote ambayo muafrika anafanya kwa weledi bila kukosea kama sector ya ujinga
Muafrika kwenye ujinga ndo anaplay part vizuri kuliko sector yeyote unayoijua wewe

Mbona gwajima kasema corona haipo tz ? Na mpaka Leo haipo kweliHawa wanaojiita manabii wanatumia hela zetu kujiwekea mabodigadi na kununua mahammer.
Mfahamishe au mfundishe sasaUkweli ni kwamba
Huijui DINI vile ambavyo inatakiwa uijue
Kaka Leo umewashika pabayaHalafu wakiwa madhabahuni wanatuhubiria uongo
Utaskia "mimi nalindwa na damu ya yesu" wakati huo getini kuna jibwa la kijerumani fensi imewekwa uzio wa umeme mlangoni walinzi halafu ukija ndani unakuta anamiliki bunduki
It's Scars
Nabii hoyeeKuna nabii mmoja nguli kasema anakwenda Italia kulikemea pepo la COVID-19 - Yaani kabla hajafika huko pepo liwe limemtii na kuwatoka watu wote.