Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Kanusha yale aliyosema Mungu? ili iaminike kuwa hayupo na ni Maandishi ya watu wajanja,
Wacha kukwepa hoja
Yale uliyoyasema hujayathibitisha kua ni kwa namna hani umejua yamesema ukweli
 
Akili yangu .
Kwani quran iliposema Tumemuumba Binadamu kwa Tone la manii(Sperm) na yai la Mwanmke (ovum) na kukaa Tumboni Miezi 6 hadi mwaka ili kuzaliwa mtoto.
.Huu si tuna juwa kuwa ni UKWELI uliekwenda sambamba na ugunduzi wa kisayansi wa karne hizi za19 na 20 na kwa hiyo tuna thibitisha kuwa Qur-an ilitangulia kusema ukweli huu kabla ya ugunduzi wa kisayansi kufanyika karne 14 zilizopita.
sasa wewe unataka kuthibitishiwa vipi?
 
Au Qur-an ilitangulia kusema kuwa Juwa lina zunguka na dunia inazunguka ,kabla wanascience hawajasema kauli hii waliamini kuwa dunia imetulia tuli na juwa ndio linaloizunguka dunia.
Aidha Qur-an ilisema kuwa Juwa ndio lenye mwanga ,na Mwezi unaakisi kabla ya sayansi kuthibitisha hilo.
Sasa mambo haya yamo ndani ya Qur-an na Akili imeyakubali,na sayansi imeyakubali ila Tuu qur-an ndio ilitangulia kuyataja .
Jee hivi navyo hukubali? ukweli wa Quran
Huna akili basi hata ya kudadisi?
 
Yale uliyoyasema hujayathibitisha kua ni kwa namna hani umejua yamesema ukweli
Ndugu yangu somaga haya maneono ya Mwenyezimungu ili uongeze maarifa wacha ubishi wa kijinga.Leo hii ukibanwa na tumbo la kuharisha utaanza kumtafuta Mungu,sikuombei mengine ,jee huoni udhaifu wetu wanadamu?
jiongeze kidogo

2. Uteremsho wakitabu cha (Qur-an) umetoka kwa Mwenyezi Mungu Mwenye nguvu, Mwenye kujua (kila kitu).
3. (Mungu)
Anaye samehe dhambi na anaye pokea toba, Mkali wa kuadhibu, Mwenye ukarimu, hakuna mungu ila Yeye; marejeo (ya viumbe wote walio hai) ni kwake.
4. Hawazibishi Ishara za Mwenyezi Mungu ila walio kufuru; basi kusikubabaishe wewe kutanga tanga kwao katika nchi (kwa ubabe na kiburi chao,tutawatia mkononi kwani hawana pa kukimbilia ila kwetu).
5. Kabla yao walikadhibisha kaumu ya Nuhu na makundi mengine baada yao. Na kila taifa lilikuwa na hamu juu ya Mtume wao wamkamate (ili wamuue). Na walibishana kwa upotovu ili kuipindua haki. Kwa hivyo niliwakamata. Basi ilikuwaje adhabu yangu!
 
Akili yangu .
Kwani quran iliposema Tumemuumba Binadamu kwa Tone la manii(Sperm) na yai la Mwanmke (ovum) na kukaa Tumboni Miezi 6 hadi mwaka ili kuzaliwa mtoto.
.Huu si tuna juwa kuwa ni UKWELI uliekwenda sambamba na ugunduzi wa kisayansi wa karne hizi za19 na 20 na kwa hiyo tuna thibitisha kuwa Qur-an ilitangulia kusema ukweli huu kabla ya ugunduzi wa kisayansi kufanyika karne 14 zilizopita.
sasa wewe unataka kuthibitishiwa vipi?
Jibu au andiko la kijinga, kama mtu hayupo hizo sperms na yai vinatoka wapi? Mtunzi hakuwa na elimu
 
Ndugu yangu somaga haya maneono ya Mwenyezimungu ili uongeze maarifa wacha ubishi wa kijinga.Leo hii ukibanwa na tumbo la kuharisha utaanza kumtafuta Mungu,sikuombei mengine ,jee huoni udhaifu wetu wanadamu?
jiongeze kidogo

2. Uteremsho wakitabu cha (Qur-an) umetoka kwa Mwenyezi Mungu Mwenye nguvu, Mwenye kujua (kila kitu).
3. (Mungu)
Anaye samehe dhambi na anaye pokea toba, Mkali wa kuadhibu, Mwenye ukarimu, hakuna mungu ila Yeye; marejeo (ya viumbe wote walio hai) ni kwake.
4. Hawazibishi Ishara za Mwenyezi Mungu ila walio kufuru; basi kusikubabaishe wewe kutanga tanga kwao katika nchi (kwa ubabe na kiburi chao,tutawatia mkononi kwani hawana pa kukimbilia ila kwetu).
5. Kabla yao walikadhibisha kaumu ya Nuhu na makundi mengine baada yao. Na kila taifa lilikuwa na hamu juu ya Mtume wao wamkamate (ili wamuue). Na walibishana kwa upotovu ili kuipindua haki. Kwa hivyo niliwakamata. Basi ilikuwaje adhabu yangu!
Hizo zote ni primitive mythology tupu
 
We umejuaje kua ni maandiko ya mungu
 
Akili yangu .
Kwani quran iliposema Tumemuumba Binadamu kwa Tone la manii(Sperm) na yai la Mwanmke (ovum) na kukaa Tumboni Miezi 6 hadi mwaka ili kuzaliwa mtoto.
.Huu si tuna juwa kuwa ni UKWELI uliekwenda sambamba na ugunduzi wa kisayansi wa karne hizi za19 na 20 na kwa hiyo tuna thibitisha kuwa Qur-an ilitangulia kusema ukweli huu kabla ya ugunduzi wa kisayansi kufanyika karne 14 zilizopita.
sasa wewe unataka kuthibitishiwa vipi?
Unajuaje kua akili yako haijakengeuka?

Mkristo akisema biblia ni kitabu cha kweli kwasababu akili yake imekubali, we utakubali kua biblia ni kitabu cha mungu kweli?
 
Infact ni kwamba hakuna sector yeyote ambayo muafrika anafanya kwa weledi bila kukosea kama sector ya ujinga

Muafrika kwenye ujinga ndo anaplay part vizuri kuliko sector yeyote unayoijua wewe
Hilo kweli kabisa , shit hole continent
 
Hawa wanaojiita manabii wanatumia hela zetu kujiwekea mabodigadi na kununua mahammer.
Mbona gwajima kasema corona haipo tz ? Na mpaka Leo haipo kweli
 
Halafu wakiwa madhabahuni wanatuhubiria uongo

Utaskia "mimi nalindwa na damu ya yesu" wakati huo getini kuna jibwa la kijerumani fensi imewekwa uzio wa umeme mlangoni walinzi halafu ukija ndani unakuta anamiliki bunduki

It's Scars
Kaka Leo umewashika pabaya
 
Kuna nabii mmoja nguli kasema anakwenda Italia kulikemea pepo la COVID-19 - Yaani kabla hajafika huko pepo liwe limemtii na kuwatoka watu wote.
 
Back
Top Bottom