Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umerudi tena?Umejuaje hilo ? Yaani mabaya yanathibitsha vipi kutokuwepo kwa aliye fanya yawepo ?
Kuwepo kwa mabaya kunasababishwa na nini hasa ? Maana kauli yako haina maana, sababu huwezi kuthibitisha unachokidai kwani hakijawahi kuwepo.
Angalizo usijibu hoja kama hujaelewa, bora uulize kwanza kisha ujibu, nakusaidia tu hapa.
Umerudi tena?
Huyo mungu wako ambaye kayaweka hayo mabaya unaweza kumthibitisha yupo?
1. Kwani lazima chanzo kiwepo ili kilichopp kiwepo?Wewe mbumbumbu kaa kimya acha kuigilia imani za watu wakati hijui lolote kihusu Mingu. Nyie watoto kinachowadanganya ni pale tu ukisoma philosophia kidogo tu unajiona umepata facts za kusimamia. Leo nakukumbusha kwa maswali haya ukishindwa kujibu nenda kamche muumba wako.
1.Ilikuwaje Binadamu akawepo duniani?
2.Kwanini tunakufa?
3.Kwanini upo duniani?
4.Wewe ni Nani?
5.Unafikiri huu ulimwengu ilikuwaje Mpaka ukawepo?
6.Ulishawahi kumuona mtu Mwenye mashetani anavyokuwa? Je unafikiri waalimu wa Imani huwa wanafanya jambo gani anapona?
7.Kwanini wanasayansi hawajamtengeneza Binadamu mpaka sasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikua nakukumbusha kua uliukimbia huu mjadala na maswali yangu hukuyajibu zaidi ya kuandika "poa". Maamuzi yako kwako kuyajibu au kuyaachaNipo sana, nimekuja kukutia adabu kama kawaida yangu.
Hujaona maswali niliyo kuuliza mzee au unajitoa ufahamu na kuweka mbele UOGA ?
Kujibu vile nilikupuuza kwahiyo nikaona napoteza muda kujadiliana na mjinga asie jibu maswali.Nilikua nakukumbusha kua uliukimbia huu mjadala na maswali yangu hukuyajibu zaidi ya kuandika "poa". Maamuzi yako kwako kuyajibu au kuyaacha
Sasa twende moja kwa moja kwenye swali lako
Mungu huyo hayupo na wala hathibitishiki kua yupo na ndio maana hakuna aliyewahi kuthibitisha zaidi ya kupayuka tu
Nimekupa kazi ya kuthibitisha huyo mungu ambaye amewaumbia viumbe wake ubaya kua yupo
Nilikuvua nguo kwa uongo wako kama huu uliosema sijibu maswali kama haitoshi nilikuwekea screenshot ya maswali ambayo nilikuuliza na hujayajibu mpaka muda huuKujibu vile nilikupuuza kwahiyo nikaona napoteza muda kujadiliana na mjinga asie jibu maswali.
Kwanini hujibu maswali yangu unahamisha jambo ?
Nimekuuliza umejuaje hilo, unajibu ambacho hujaulizwa, ukipuuzwa unasema mtu amekimbia, huna hoja wala swali la kunifanya nikimbie, sababu hata wakubwa wako hawawezi kujibu hoja hizi.
Kijana jibu swali nililo kuuliza.Nilikuvua nguo kwa uongo wako kama huu uliosema sijibu maswali kama haitoshi nilikuwekea screenshot ya maswali ambayo nilikuuliza na hujayajibu mpaka muda huu
Twende moja kwa moja kwenye mada
Kwanza hapa unatakiwa kuelewa nilikua namkusudia mungu ambaye hana sifa ya ubaya, sasa huyu wako mwenye sifa ya ubaya hadi kufikia anaumba ubaya sijawahi kuzisikia habari zake nimekuomba umthibitishe kwanza ili tuendelee
Nilikua nakukumbusha kua uliukimbia huu mjadala na maswali yangu hukuyajibu zaidi ya kuandika "poa". Maamuzi yako kwako kuyajibu au kuyaacha
Sasa twende moja kwa moja kwenye swali lako
Mungu huyo hayupo na wala hathibitishiki kua yupo na ndio maana hakuna aliyewahi kuthibitisha zaidi ya kupayuka tu
Nimekupa kazi ya kuthibitisha huyo mungu ambaye amewaumbia viumbe wake ubaya kua yupo
Nilikuvua nguo kwa uongo wako kama huu uliosema sijibu maswali kama haitoshi nilikuwekea screenshot ya maswali ambayo nilikuuliza na hujayajibu mpaka muda huu
Twende moja kwa moja kwenye mada
Kwanza hapa unatakiwa kuelewa nilikua namkusudia mungu ambaye hana sifa ya ubaya, sasa huyu wako mwenye sifa ya ubaya hadi kufikia anaumba ubaya sijawahi kuzisikia habari zake nimekuomba umthibitishe kwanza ili tuendelee
Swali lako halijagusa hoja yangu uliyoi-quote limezungumzia kitu kingine kabisa ambacho mimi sijakisema halafu unanishurutisha nijibu kanakwamba mimi ndio niliyeweka hayo madaiKijana jibu swali nililo kuuliza.
Unajua maana ya Mungu ?.Ukiambiwa uache kuandika juu ya mambo usio ya jua, ujue tunamaanisha.
Kijana naona, una jivika taji, nacheka sana, hoja zimo humu, wenye akili wameona, a kilichoandikwa kimeandikwa.
Soma post # 1490 kisha linganisha na maswali yangu, hukwepi swali wala hukimbii swali hapa.Swali lako halijagusa hoja yangu uliyoi-quote limezungumzia kitu kingine kabisa ambacho mimi sijakisema halafu unanishurutisha nijibu kanakwamba mimi ndio niliyeweka hayo madai
Hilo haliwezekani lazima principles za mjadala zifatwe otherwise kiri kua umekosea
Mimi nazungumzia mungu mwenye upendo wote, wewe unaniuliza habari za mungu mwenye kuumba ubaya. what a joke?
Thibitisha hapa huyo mungu mwenye anawaumbia watu ubaya yupo
Hilo haliwezekani lazima principles za mjadala zifatwe otherwise kiri kua
Mtu anakuambia kua corona imeletwa na mungu ili iwadhuru watu, nikamuuliza ikiwa kama ni kweli jambo hilo ni sahihi na linajulikana kiujumla kwanini tunaona watu wakijiepusha na korona hadi kufikia hatua mekka na vatican wanapiga ban hija?Naona unawashika pabaya wafia Dini, nina swali pia
Mtu akiugua akipona wanasema tunamshukuru Mungu kwa kumponya
Akifa wanasema ni mapenzi ya Mungu sasa hapa Mungu ni mwema au ni katili?
Kama mapenzi ya Mungu ni kumuua kwavile kampenda zaidi kwanini unganganie kwenda hospitali kushindana na matakwa ya Mungu anaetaka kumuua huyo mgonjwa? Hamuoni mnashindana nae
Tumeumbwa kwa mfano wa Mungu je Mungu ni kiwete, kipofu, bubu, mbili kimo na kasoro zote wanazozaliwa nazo wanadamu ndio mfano wa huyo Mungu?
Nani amesema hiyo post yangu ?Hiyo ni post yangu
Sasa wewe umeielewaje?
Mungu mjuzi wa yote, muweza wa yote, na mwenye upendo wote ambaye nimemsoma kwenye vitabu vya dini ndio naye mzungumzia hapaSasa Mungu ambae hana sifa ya ubaya umemjuaje mpaka unamzungumzia na ubaya kwako wewe ni upi hasa na unaupimaje ?
Mungu mjuzi wa yote, muweza wa yote, na mwenye upendo wote ambaye nimemsoma kwenye vitabu vya dini ndio naye mzungumzia hapa
nataka nijue huyo mungu mwenye kaumba ubaya ni yupi, nahitaji uthibitisho wake kuonesha yupo
Kwani wapi nimesema kua hiyo ni post yako?Nani amesema hiyo post yangu ?
Naona swali limekushinda unapoteza muda, unaiuliza nimeelewa vipi, wakati maswai yangu yanaonyesha wazi kile nilichokielewa. Jibu maswali yangu.