Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Umejuaje hilo ? Yaani mabaya yanathibitsha vipi kutokuwepo kwa aliye fanya yawepo ?

Kuwepo kwa mabaya kunasababishwa na nini hasa ? Maana kauli yako haina maana, sababu huwezi kuthibitisha unachokidai kwani hakijawahi kuwepo.

Angalizo usijibu hoja kama hujaelewa, bora uulize kwanza kisha ujibu, nakusaidia tu hapa.
Umerudi tena?

Huyo mungu wako ambaye kayaweka hayo mabaya unaweza kumthibitisha yupo?
 
Nipo sana, nimekuja kukutia adabu kama kawaida yangu.

Hujaona maswali niliyo kuuliza mzee au unajitoa ufahamu na kuweka mbele UOGA ?
 
Wewe mbumbumbu kaa kimya acha kuigilia imani za watu wakati hijui lolote kihusu Mingu. Nyie watoto kinachowadanganya ni pale tu ukisoma philosophia kidogo tu unajiona umepata facts za kusimamia. Leo nakukumbusha kwa maswali haya ukishindwa kujibu nenda kamche muumba wako.

1.Ilikuwaje Binadamu akawepo duniani?
2.Kwanini tunakufa?
3.Kwanini upo duniani?
4.Wewe ni Nani?
5.Unafikiri huu ulimwengu ilikuwaje Mpaka ukawepo?
6.Ulishawahi kumuona mtu Mwenye mashetani anavyokuwa? Je unafikiri waalimu wa Imani huwa wanafanya jambo gani anapona?
7.Kwanini wanasayansi hawajamtengeneza Binadamu mpaka sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
1. Kwani lazima chanzo kiwepo ili kilichopp kiwepo?

2. Tunakufa kwasababu mazingira tunayoishi hayaruhusu mtu kuishi milele, na hiyo ni kwasababu tumekosa muongozaji mwenye ujuzi wote, uwezo wote na uwezo wote ambaye angeweza kutuepusha na kifo

3. Nipo duniani kwasababu ya wazazi wangu

4. Mimi ni mtu

5. Kwanini ufikiri kua ulimwengu huu unahitaji chanzo? Unaelewa swali lako tukilifuata bila kupindisha litataka kujua chanzo cha Mungu?

6. Mashetani ni uzushi tu, kuna mwenzako huko juu amekiri kua ni ugonjwa wa akili kwamba watu wamekosa maarifa kujua namna ubongo unavyofanya kazi na impact zake endapo ukipata athari

7. Maswali mengine haya ni very ridiculous

Kwanini Mungu hajatengeneza ndege zisizo na rubani?
 
Nipo sana, nimekuja kukutia adabu kama kawaida yangu.

Hujaona maswali niliyo kuuliza mzee au unajitoa ufahamu na kuweka mbele UOGA ?
Nilikua nakukumbusha kua uliukimbia huu mjadala na maswali yangu hukuyajibu zaidi ya kuandika "poa". Maamuzi yako kwako kuyajibu au kuyaacha

Sasa twende moja kwa moja kwenye swali lako

Mungu huyo hayupo na wala hathibitishiki kua yupo na ndio maana hakuna aliyewahi kuthibitisha zaidi ya kupayuka tu

Nimekupa kazi ya kuthibitisha huyo mungu ambaye amewaumbia viumbe wake ubaya kua yupo
 
Kujibu vile nilikupuuza kwahiyo nikaona napoteza muda kujadiliana na mjinga asie jibu maswali.

Kwanini hujibu maswali yangu unahamisha jambo ?

Nimekuuliza umejuaje hilo, unajibu ambacho hujaulizwa, ukipuuzwa unasema mtu amekimbia, huna hoja wala swali la kunifanya nikimbie, sababu hata wakubwa wako hawawezi kujibu hoja hizi.
 
Nilikuvua nguo kwa uongo wako kama huu uliosema sijibu maswali kama haitoshi nilikuwekea screenshot ya maswali ambayo nilikuuliza na hujayajibu mpaka muda huu

Twende moja kwa moja kwenye mada

Kwanza hapa unatakiwa kuelewa nilikua namkusudia mungu ambaye hana sifa ya ubaya, sasa huyu wako mwenye sifa ya ubaya hadi kufikia anaumba ubaya sijawahi kuzisikia habari zake nimekuomba umthibitishe kwanza ili tuendelee
 
Kijana jibu swali nililo kuuliza.

Unajua maana ya Mungu ?.Ukiambiwa uache kuandika juu ya mambo usio ya jua, ujue tunamaanisha.

Kijana naona, una jivika taji, nacheka sana, hoja zimo humu, wenye akili wameona, a kilichoandikwa kimeandikwa.
 
Nilikua nakukumbusha kua uliukimbia huu mjadala na maswali yangu hukuyajibu zaidi ya kuandika "poa". Maamuzi yako kwako kuyajibu au kuyaacha

Sasa twende moja kwa moja kwenye swali lako

Mungu huyo hayupo na wala hathibitishiki kua yupo na ndio maana hakuna aliyewahi kuthibitisha zaidi ya kupayuka tu

Nimekupa kazi ya kuthibitisha huyo mungu ambaye amewaumbia viumbe wake ubaya kua yupo

Naona unawashika pabaya wafia Dini, nina swali pia
Mtu akiugua akipona wanasema tunamshukuru Mungu kwa kumponya
Akifa wanasema ni mapenzi ya Mungu sasa hapa Mungu ni mwema au ni katili?

Kama mapenzi ya Mungu ni kumuua kwavile kampenda zaidi kwanini unganganie kwenda hospitali kushindana na matakwa ya Mungu anaetaka kumuua huyo mgonjwa? Hamuoni mnashindana nae

Tumeumbwa kwa mfano wa Mungu je Mungu ni kiwete, kipofu, bubu, mbili kimo na kasoro zote wanazozaliwa nazo wanadamu ndio mfano wa huyo Mungu?
 
Nilikuvua nguo kwa uongo wako kama huu uliosema sijibu maswali kama haitoshi nilikuwekea screenshot ya maswali ambayo nilikuuliza na hujayajibu mpaka muda huu

Twende moja kwa moja kwenye mada

Kwanza hapa unatakiwa kuelewa nilikua namkusudia mungu ambaye hana sifa ya ubaya, sasa huyu wako mwenye sifa ya ubaya hadi kufikia anaumba ubaya sijawahi kuzisikia habari zake nimekuomba umthibitishe kwanza ili tuendelee

Sasa Mungu ambae hana sifa ya ubaya umemjuaje mpaka unamzungumzia na ubaya kwako wewe ni upi hasa na unaupimaje ?
 
Kijana jibu swali nililo kuuliza.

Unajua maana ya Mungu ?.Ukiambiwa uache kuandika juu ya mambo usio ya jua, ujue tunamaanisha.

Kijana naona, una jivika taji, nacheka sana, hoja zimo humu, wenye akili wameona, a kilichoandikwa kimeandikwa.
Swali lako halijagusa hoja yangu uliyoi-quote limezungumzia kitu kingine kabisa ambacho mimi sijakisema halafu unanishurutisha nijibu kanakwamba mimi ndio niliyeweka hayo madai

Hilo haliwezekani lazima principles za mjadala zifatwe otherwise kiri kua umekosea

Mimi nazungumzia mungu mwenye upendo wote, wewe unaniuliza habari za mungu mwenye kuumba ubaya. what a joke?

Thibitisha hapa huyo mungu mwenye anawaumbia watu ubaya yupo
 
Soma post # 1490 kisha linganisha na maswali yangu, hukwepi swali wala hukimbii swali hapa.
 
Hilo haliwezekani lazima principles za mjadala zifatwe otherwise kiri kua

Inaonekana kanuni za mijadala huzijui maana hapa, unaenda kinyume na kanuni hizo, sasa sijui umesoma, wape somo la mijadala, mimi nimesoma vitabu maalumu kabisa vinavyoelezea kanuni za mijadala.

Unachokifanya hapa ni kupindisha hoja, kwenye fani ya logic kitendo hicho yule mtendaji anaekifanya huitwa "Straw Man Argument".Sasa tuliza akili ujibu maswali niliyo kuuliza.
 
Naona unawashika pabaya wafia Dini, nina swali pia
Mtu akiugua akipona wanasema tunamshukuru Mungu kwa kumponya
Akifa wanasema ni mapenzi ya Mungu sasa hapa Mungu ni mwema au ni katili?

Kama mapenzi ya Mungu ni kumuua kwavile kampenda zaidi kwanini unganganie kwenda hospitali kushindana na matakwa ya Mungu anaetaka kumuua huyo mgonjwa? Hamuoni mnashindana nae

Tumeumbwa kwa mfano wa Mungu je Mungu ni kiwete, kipofu, bubu, mbili kimo na kasoro zote wanazozaliwa nazo wanadamu ndio mfano wa huyo Mungu?
Mtu anakuambia kua corona imeletwa na mungu ili iwadhuru watu, nikamuuliza ikiwa kama ni kweli jambo hilo ni sahihi na linajulikana kiujumla kwanini tunaona watu wakijiepusha na korona hadi kufikia hatua mekka na vatican wanapiga ban hija?

Akasema wanafanya hivyo kwasababu wanachukua tahafhari, nikamuuliza kwanini wachukue tahadhari huoni kwamba wanapingana na mungu kwasababu yeye kwa mapenzi yake amewaumbia corona ili iwadhuru na nyie mmelijua hilo sasa kwanini mchukue tahadhari kwa kujiepusha nao?

Wameshajua kua wameumbiwa ugonjwa ili wadhurike, lakini wanaukwepa kwa kuchukua tahadhari ili wasidhurike inamaana wanam-challenge mungu

Hajajibu swali hilo ndio leo amekuja
 
Hiyo ni post yangu

Sasa wewe umeielewaje?
Nani amesema hiyo post yangu ?

Naona swali limekushinda unapoteza muda, unaiuliza nimeelewa vipi, wakati maswai yangu yanaonyesha wazi kile nilichokielewa. Jibu maswali yangu.
 
Sasa Mungu ambae hana sifa ya ubaya umemjuaje mpaka unamzungumzia na ubaya kwako wewe ni upi hasa na unaupimaje ?
Mungu mjuzi wa yote, muweza wa yote, na mwenye upendo wote ambaye nimemsoma kwenye vitabu vya dini ndio naye mzungumzia hapa

nataka nijue huyo mungu mwenye kaumba ubaya ni yupi, nahitaji uthibitisho wake kuonesha yupo
 
Sasa kama umemsoma humo kwenye hivyo vitabu, kipi kilicho kufanya ujue kwamba hayupo ?. Kijana hili swali ni swali jumla jamala, yaani halikwepeki mzee.

Jibu swali nililo kuuliza.
 
Nani amesema hiyo post yangu ?

Naona swali limekushinda unapoteza muda, unaiuliza nimeelewa vipi, wakati maswai yangu yanaonyesha wazi kile nilichokielewa. Jibu maswali yangu.
Kwani wapi nimesema kua hiyo ni post yako?

Hiyo post mimi nimeiandika na kwangu haina utata, sasa wewe ambaye umejenga swali kupitia hiyo post unabidi uniambie umeielewaje
 
Back
Top Bottom