Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Utawezaje kwanza hata kufikisha list ya miungu 2000, umekiri mwenyewe kwamba umeandika list ya miungu wa wachache,sasw ili uwe mkweli,tuwekee list ya kuanzia miungu elfu 10.
Nilishangaa ulipokua unasema nimedai kua list ile ni ime consist 10k gods

Ulipo ni disprive kua list iko below 10k ni wazi kabisa kua ulihesabu

Sasa nataka kujua kwa ulivuo hesabu hiyo list ina miungu wangapi?
Usiwe unauliza maswali ambayo majibu unayaona na yako wazi.

Najua. Ndiyo maana nakukosoa.
Wapi nilipodai list ina majina yote 10 ya mungu ambayo wewe umenikosoa?
Sasa wewe uliye iweka ulitakiwa utuonyeshe mungu wa elfu 10,au achilia mbali tu mungu wa 2101. Ili ujue kwamba nimehesabu au sijahesabu.
Wewe hujahesabu?

So nikikiambia utahakiki vipi jibu kua ni kweli?

Unaniuliza tena mimi nikwambie idadi wakati ni jukumu lako kunionyesha mungu wa elfu kumi katika list yako ni nani ? Mimi nakufundisha wewe kwamba uache kuishi kwa dhana na kuokoteza mambo bila utafiti.

Kijqna mbona unakuwa mjinga kiasi hicho na unapoteza muda ? Tuwekee page yako ya exel nataka nimuone mungu wa 3002 anaitwa nani ?
Wewe umepinga kua hao sio miungu 10k kwa kuangalia nini?

Inamaana hukuhesabu?

Au uliangalia hoja yangu kwasababu nilisema ni kwa uchache?
 
Kijana unajua umeingia katika mlango ambao huwezi kutoka kabisa,na usitufanye sisi wajinga kama wewe.

Sasa tuwekee hiyo list kamili,au tuonyeshe mungu wa 4121 ni nani ?

Kijana naona tunakudai majina ya miungu tu unarukaruka je nikikuuliza mungu 7124 dini yake inaitwaje hapo katika list yako si utarukaruka zaidi ?

Idadi ya hizo zijaidhibiti hili ni jambo lingine,ukitaka rejea mavitabu hayo niliyo kuwekea kisha uhesabu ziko ngapi.

Hili la uislamu kuwa ni dini ya kweli nilikupa maelezo yake na mifano nikakupa.
Unajua kuhesabu?
 
Kwani hapo unaona kuna vitabu vingapi ? Kwanza umeona vitabu kijana ?

Hivi inakuwaje unauliza ujinga na vitabu unaviona ?

Wewe hao miungu zaidi ya elfu 10 marejeo yake yako wapi ? Hili huliwezi mpaka unakufa.

Kwani tunaongelea vitabu vya dini au tunaongelea dini ? Kijana una mawenge balaa.

Kitabu cha mara ya kwanza kukuwekea humu kama marejeo yangu,kilikuwa ni volume 2 na kila volume ina zaidi ya kurasa 700.


Mimi niko pale pale.
Unaniuliza tena habari za marejeo yako wapi wakati wewe mwenye kuhitimisha dini yako kua ni ya kweli ndio mwenye jukumu wa kutuambia hayo marejeo yakikokuwepo?

Umehitimishaje sasa kua uislam ndo dini ya kweli kama kutakua kuna marejeo ya dini zingine hukuyasoma?

Kwa poinyi hiyo unanipa shaka kua habari za kusema uislamu ni dini ya kweli ni propaganda tu maana kuna marejeo ya dini zingine hukuweza kuyasoma
 
Hebu nioneshe ulivotangulia kuuliza kabla yangu..

Unajaribu kukimbia swali, kwa kuhamisha mada... That is so unprofessional
Nilitangulia kwa kuuliza hili swali

Unajuaje kua kuran imesema ukweli?
 
Nilishangaa ulipokua unasema nimedai kua list ile ni ime consist 10k gods

Ulipo ni disprive kua list iko below 10k ni wazi kabisa kua ulihesabu

Sasa nataka kujua kwa ulivuo hesabu hiyo list ina miungu wangapi?

Wapi nilipodai list ina majina yote 10 ya mungu ambayo wewe umenikosoa?

Wewe hujahesabu?

So nikikiambia utahakiki vipi jibu kua ni kweli?


Wewe umepinga kua hao sio miungu 10k kwa kuangalia nini?

Inamaana hukuhesabu?

Au uliangalia hoja yangu kwasababu nilisema ni kwa uchache?
Kazi yangu nimemaliza,huna majibu ya maswali yangu.

Nipo ....
 
Unaniuliza tena habari za marejeo yako wapi wakati wewe mwenye kuhitimisha dini yako kua ni ya kweli ndio mwenye jukumu wa kutuambia hayo marejeo yakikokuwepo?

Umehitimishaje sasa kua uislam ndo dini ya kweli kama kutakua kuna marejeo ya dini zingine hukuyasoma?

Kwa poinyi hiyo unanipa shaka kua habari za kusema uislamu ni dini ya kweli ni propaganda tu maana kuna marejeo ya dini zingine hukuweza kuyasoma
Jibu maswali niliyo kuuliza na ukisome vizuri ulichokiandika.
 
Poleni na majukumu ya hapa na pale sasa na kale yanayowafanya msilale, niende moja kwa moja kwenye mada husika.

Kama kweli maombi yanafanya kazi kwa namna ambayo tunaaminishwa, kwanini viongozi wa dini wameungana kutekeleza agizo la kuvunja mirundikano ikiwemo mijumuiko ya kiibada ili kuikwepa korona?

Kama walifanya maombi kwa lengo la kuizuia corona isiingie nchini, lakini tunaona corona imeingia, nini kinachokufanya uwaamini kuwa maombi ya sasa wanayojipanga kuyafanya yataitokomeza corona mazima?

Haya mambo probably si magumu ila ugumu tunauweka sisi kwa kuweka mizaha kwa kutumia kivuli cha dini.

Hivi mfano hawa madaktari wetu na sekta ya afya kiujumla wangejumuika kwenye maombi kwa kuamini kwamba maombi ni njia madhubuti ya kutatua matatizo kama haya katika kila janga la ugonjwa. Kama ambavyo watu wa dini wamekua wakituhimiza kufanya, je tungefanikisha kutibu gonjwa lipi kwa maombi?

Ngoma inaingia Tanzania wabongo tulijitia wachamungu sana kuwa tumepewa mamlaka ya kukanyaga nyoka na n'ge hivyo ukimwi kwetu sio tishio.

Lakini tunachokiona mpaka saa hizi mapasta na masheikh wanachukua vidonge kwa siri sana. Lakini pamoja na hayo hatuwaoni wakijisalimisha kua wameshindwa kudhibiti ukimwi kwa maombi yao.

Mungu ambaye tunamtolea sadaka kila siku halafu katika matatizo kama haya kajichimbia tu wala hatuoni juhudi zake, huyu si mungu wakuabudiwa. Ni sawa na rafiki mnafki ambaye kwenye matanuzi mkiwa viwanja mnakua naye karibu sana halafu ikatokea siku umeishiwa anakukimbia.

Wahubiri wanahubiri huku wamevaa face mask at the same time wanasema damu ya Yesu ni tiba ya kila kitu. What a joke but I ain't laughing?

Tunaambiwa ukiwa na imani waweza kuhamisha hadi milima lakini sikutegemea kuona Vatican, Mekka ziwe kipaumbele kukataza watu wasiende kwao kwa hofu ya korona.

Mungu muweza wa yote yuko wapi mbona kawasusia msala madaktari wetu halafu yeye amesizi tu eti mpaka aamshwe kwa maombi?

Kwanini Mungu mjuzi wa yote na muweza wa yote ahitaji maombi?

Mbona kwenye zile hadithi za gharika na sodoma na gomora huyu mungu ali-respond haraka sana kwanini asifanye hivyo kwenye janga hili linalomaliza ndugu zetu na kudhoofisha hali ya uchumi wetu?

Hivi kweli Mungu huyu yupo kweli? Maana viongozi wetu wa dini nao wanaathirika mpaka inafikia hatua Italy makanisa yameshehena maiti inamaana yeye haoni?

Kwanini Mungu ahitaji maombi yetu ili aweze ku-solve matatizo yetu, ilihali anaelewa hitaji la moyo wetu hata kabla hatujasema?

====

Chukua tahadhari kwa kufuata angalizo lililotolewa na mamlaka ya afya Corona haidhibitiwi kwa maombi bali kwa kuepuka makatazo ambayo yameainishwa na shirika la afya
Mungu kachukua lini wataka yako?
 
Back
Top Bottom