#COVID19 Corona: India kinaponuka sisi tuna cha kujifunza?

Tuanze na wewe mwenyewe umechukua hatua gani? Umejilockdown?
 
Sisi hatyna la kujifunza. Ndio kwanza mabarakoa tumetupa kule. No hand wash no social distance.
Tunakomaa na legacy ya meko
 
India walizingua kwenda kwenye Lile tamasha la kidini wakajazana kwenye ule mto. Wacha walinywe, walilikoroga wenyewe.
 
Washamaliza kupigana na waislamu hao waindi. Wamalizane nao halafu washuhulike na korona. Mbinu ya Tanzania kumtegemea mungu ndio bora kuliko upuuzi waliokuwa wanafanya wahindi wa kuligawa taifa lao kipindi cha furaha ikija balaa ndio wanakumbuka kuwa wote ni ndugu
 
Kwa hyo hizo chanjo SI kitu?.
sasa kwanini wanalazimisha kuzileta kwenye nchi ambayo HAINA wagonjwa wa Corona?.
Ujue vitu vingine tuwe tunafikiria.
Si wakawape wahindi ?
Researchers wanasema kuna mambo kadha wa kadha yaliyopelekea kuongezeka kwa case za corona india ikiwepo;
mambo ya kidini na kampeni za kisiasa zilizokuwa hivi karibuni, hivi vilipelekea watu kujisahau kuchukua tahadhari ukiangalia wingi wao
na factor nyingine ni low vaccine coverage,ukosefu wa oxygen mahospitalini
 
Huku tanzania sisi hatukusanyiki?.
sasa hivi umeuona watu wangapi hapa Tanzania wanavaa barakoa?
 
Huku tanzania sisi hatukusanyiki?.
sasa hivi umeuona watu wangapi hapa Tanzania wanavaa barakoa?
ipo kila mahali lakini hatuwezi kujiridhisha kwamba tupo salama hakuna corona ikiwa hakuna mamlaka/taasisi inayofanya vipimo na kuweka takwimu kama inavyotakiwa kamati ya maafa na majanga ya nchi yoyote
 
Kaka kwani huko India wote wanapimwaa?.
Huo UGONJWA unachukua siku 2 Hadi 14 kuonesha dalili .huo sio ukimwi useme utakaa nao hata miaka 10.
Kwa hyo hoja ya kuwa hatupimi ndo maana hatujui wagonjwa wa Corona hyo NI HOJA MUFILISI
ipo kila mahali lakini hatuwezi kujiridhisha kwamba tupo salama hakuna corona ikiwa hakuna mamlaka/taasisi inayofanya vipimo na kuweka takwimu kama inavyotakiwa kamati ya maafa na majanga ya nchi yoyote
 
Kaka kwani huko India wote wanapimwaa?.
Huo UGONJWA unachukua siku 2 Hadi 14 kuonesha dalili .huo sio ukimwi useme utakaa nao hata miaka 10.
Kwa hyo hoja ya kuwa hatupimi ndo maana hatujui wagonjwa wa Corona hyo NI HOJA MUFILISI
wanapimwa ndo maana tunaweza kuona takwimu zao kwamba kila siku watu 300k na zaidi wanakutwa na dalili
India ina idadi ya watu 1.395Bn hivyo wanajitahidi wawezavyo. Ongezeko hili limetokana na shughuli za kisiasa ,kidini,na utoaji wa kiwango kidogo wa chanjo
Hapa kwetu tupo approx. 60M hivyo mamlaka inaweza kupima na kuchukuwa hatua stahiki juu ya hili kuliko kukaa kimya. Htuwezi kujidanganya hakuna corona kwa nadharia rahisi tu mkuu
 
Kwani wasipopimwa wagonjwa hawawezi kuonekana?
 
Kwamba sababu dalili za UGONJWA NI kuanzia siku 2 Hadi 14.
kinga ya mwili ya mtu hutofautiana yako haiwezi kufanana na ya mtu wa miaka 50
wapo wanaoonyesha dalili za haraka na wapo wanaochelewa
wanasayansi wanasema wapo wanaoipata corona na ikaondoka kutokana na kinga za miili yao kupambana vizri
wanasema umri ulio katika high risk 45-50 hapo
 

KIpigo wanachopata kina fanana na walichopata nchi za latini america, hasa brazil huko, tofauti ni media tu, kuwa india information ni za kutosha na pamoja serekali kuficha.
kifupi mpka hiyo wave iishe two weeks to three weeks watu si chini ya 2Mil watakuwa wamepotea.
 
Tufanyeje sasa? Kwani unazani india wamejitakia? Muhimu tuendelee kumuomba Mungu atuepushie mbali, kwani hali ya maisha yetu ni ngumu na hatuwezi kufuata masharti ya Covid-19 kwa [emoji817]%.
 

Hatari sana mola apishilie mbali. Haya ndiyo yaliyokuwa yakisemwa na kina Bill Gates. Wengine waliwabeza.

Ama kweli Corona si mafua wala kaupepo fulani tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…