joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
-
- #21
Ndio sababu nikakuambia jambo lenyewe kwasababu ni "Tetesi", liendelee kubaki kuwa Tetesi, hatupaswi kupoteza nguvu zetu kwa jambo ambalo bado ni Tetesi.kwani nani anaye reveal takwimu officially Tanzania?
kwa kufanya hivyo tafsiri yake wameruhusu watu watafute taarifa wenyewe na kuzipa majina kama "tetesi", nk and you can't blame them!
𝘞𝘢𝘯𝘢𝘧𝘪𝘢 𝘸𝘢𝘱𝘪 𝘩𝘢𝘰 𝘸𝘢𝘵𝘶 𝘮𝘣𝘰𝘯𝘢 𝘩𝘢𝘵𝘶𝘰𝘯𝘪 𝘩𝘢𝘵𝘢 𝘸𝘢𝘵𝘶 𝘸𝘢𝘬𝘪𝘱𝘰𝘵𝘦𝘢 𝘮𝘪𝘵𝘢𝘢𝘯𝘪??Kwani kumekuwaje?
Huku kwetu hatutangazi ndio maana hatujui linaloendelea
Corona ipo kila mahali ni wewe halijakufika lakini vifo ni vingi hata huku kwetu
Usifurahie wanayopitia jirani zetu nadhani tuwahurumie na kuwa support
Shida jirani zetu slums nyingi
Mimi binafsi naomba hali izidi kuwa mbaya zaidi ili Kenya tujifunze kuwa kutojina sisi ndio bora na wenye haki ya kuchukua maamuzi na wengine wanataki kutufuata . Maana tunapenda sana kujiona bora gapa A. Mashariki serikali yetu inamatatizo sasa asiefunzwa na ***** hufunzwa na ulimwengu , kwahiyo ulimwengu wenyewe ndio huu sasa
MY TAKE: Watanzania, je tuwachukulieje hawa majirani ambao waliongoza dunia katika kutupaka matope na kutuombea mabaya ili Corona itusambaratishe?

Mimi binafsi naomba hali izidi kuwa mbaya zaidi ili Kenya tujifunze kuwa kutojina sisi ndio bora na wenye haki ya kuchukua maamuzi na wengine wanataki kutufuata . Maana tunapenda sana kujiona bora gapa A. Mashariki serikali yetu inamatatizo sasa asiefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu , kwahiyo ulimwengu wenyewe ndio huu sasa
MY TAKE: Watanzania, je tuwachukulieje hawa majirani ambao waliongoza dunia katika kutupaka matope na kutuombea mabaya ili Corona itusambaratishe?
....kwa kuwa wanaokufa ni kuku si Watanzania, right?Ndio sababu nikakuambia jambo lenyewe kwasababu ni "Tetesi", liendelee kubaki kuwa Tetesi, hatupaswi kupoteza nguvu zetu kwa jambo ambalo bado ni Tetesi.
Bwaaaahhh letang'a storeee za slums za keja tuburudike Nani zaidiKenya imeshinda India kwa idadi ya watu wanaoishi kwa slums?
Wacha porojo zako, sisi wote ni watanzania, hatuwaoni wala kusikia watu wanaokufa kwa Corona, hivi watu wafe na mitandaoni kuwe kimy?, Kigogo, Zitto, Lema, na wapinzani wore wawe kimya?. Huko wanakokufa kwa wingi utaweza kuficha?. Peleka porojo zako huko.....kwa kuwa wanaokufa ni kuku si Watanzania, right?
Ww ni fala unaleta siasa zako za kipuuzi kwenye afya za watu.Wacha porojo zako, sisi wote ni watanzania, hatuwaoni wala kusikia watu wanaokufa kwa Corona, hivi watu wafe na mitandaoni kuwe kimy?, Kigogo, Zitto, Lema, na wapinzani wore wawe kimya?. Huko wanakokufa kwa wingi utaweza kuficha?. Peleka porojo zako huko.
Utawasikiaje na wakati hlo kwenu hakuna corona, sai hko watu wanakufa kw kukosa hewa tuWacha porojo zako, sisi wote ni watanzania, hatuwaoni wala kusikia watu wanaokufa kwa Corona, hivi watu wafe na mitandaoni kuwe kimy?, Kigogo, Zitto, Lema, na wapinzani wore wawe kimya?. Huko wanakokufa kwa wingi utaweza kuficha?. Peleka porojo zako huko.
Huu ufala aliniambukiza mama yako siku ileee.....Ww ni fala unaleta siasa zako za kipuuzi kwenye afya za watu.
Jifunze kujenga hoja, wacha matusiWw ni fala unaleta siasa zako za kipuuzi kwenye afya za watu.
huwezi kuona wahanga wa korona kwa sababu unashabikia blindly wanaokupa pilau, tisheti na kofia za dezo.Wacha porojo zako, sisi wote ni watanzania, hatuwaoni wala kusikia watu wanaokufa kwa Corona, hivi watu wafe na mitandaoni kuwe kimy?, Kigogo, Zitto, Lema, na wapinzani wore wawe kimya?. Huko wanakokufa kwa wingi utaweza kuficha?. Peleka porojo zako huko.
Ushapata mchumba?Hatufanya kisa tanzania wamefanya
Waleta Mada na wachangiaj nyie Hua hamf na corona ila mnaongoza kwa kusema Hali ni mbaya kua watu wanakufa kimia kimia kwann na nyie msife kimia kimiaKwani kumekuwaje?
Huku kwetu hatutangazi ndio maana hatujui linaloendelea
Corona ipo kila mahali ni wewe halijakufika lakini vifo ni vingi hata huku kwetu
Usifurahie wanayopitia jirani zetu nadhani tuwahurumie na kuwa support
Shida jirani zetu slums nyingi
hapana kwa upande wetu tupo vizuri sana tuna case chache sana za Covid19Kwani kumekuwaje?
Huku kwetu hatutangazi ndio maana hatujui linaloendelea
Corona ipo kila mahali ni wewe halijakufika lakini vifo ni vingi hata huku kwetu
Usifurahie wanayopitia jirani zetu nadhani tuwahurumie na kuwa support
Shida jirani zetu slums nyingi
Kwetu imepungua mnooooKwani kumekuwaje?
Huku kwetu hatutangazi ndio maana hatujui linaloendelea
Corona ipo kila mahali ni wewe halijakufika lakini vifo ni vingi hata huku kwetu
Usifurahie wanayopitia jirani zetu nadhani tuwahurumie na kuwa support
Shida jirani zetu slums nyingi
Hawa wapumbavu walisema, Kwa kujiachia huko Watanzania tunawapa wiki 3 mpaka mutatafuta makaburi ya kuzikia wanaona miezi imekatika wanaanza propaganda zingine ohhh munaficha kama kuficha vifo kazi lahis bc wangeficha Italy au Brazil.wajuze tu Hii ndio bongo watu wanaishi kwa kuchemsha ubongo kama ubongo umelala au hufanyi kazi kama uhuru matokeo yake ndio haya ya Kenya ,wanazani tuliitwa wabongo wa bahati mbaya ?Wacha porojo zako, sisi wote ni watanzania, hatuwaoni wala kusikia watu wanaokufa kwa Corona, hivi watu wafe na mitandaoni kuwe kimy?, Kigogo, Zitto, Lema, na wapinzani wore wawe kimya?. Huko wanakokufa kwa wingi utaweza kuficha?. Peleka porojo zako huko.
Unataka tuanze kushindania vifo?unaandika as if Tanzania mambo ni shwari.
boriti jichoni mwako hulioni bali unaweza kukaona kabanzi kadogo kwenye jicho la mwenzio!
[SUB]Tetesi: - SUA: Prof Mstaafu afariki kwa tatizo la kushindwa kupumua! Ni Prof wa tatu kufariki ndani ya miezi miwili kwa tatizo kama hilo[/SUB]