Corona: Kenya hali ni mbaya sana. Serikali huenda ikasalimu amri hivi karibuni

kwani nani anaye reveal takwimu officially Tanzania?
kwa kufanya hivyo tafsiri yake wameruhusu watu watafute taarifa wenyewe na kuzipa majina kama "tetesi", nk and you can't blame them!
Ndio sababu nikakuambia jambo lenyewe kwasababu ni "Tetesi", liendelee kubaki kuwa Tetesi, hatupaswi kupoteza nguvu zetu kwa jambo ambalo bado ni Tetesi.
 
Kwani kumekuwaje?
Huku kwetu hatutangazi ndio maana hatujui linaloendelea
Corona ipo kila mahali ni wewe halijakufika lakini vifo ni vingi hata huku kwetu
Usifurahie wanayopitia jirani zetu nadhani tuwahurumie na kuwa support
Shida jirani zetu slums nyingi
𝘞𝘢𝘯𝘢𝘧𝘪𝘢 𝘸𝘢𝘱𝘪 𝘩𝘢𝘰 𝘸𝘢𝘵𝘶 𝘮𝘣𝘰𝘯𝘢 𝘩𝘢𝘵𝘶𝘰𝘯𝘪 𝘩𝘢𝘵𝘢 𝘸𝘢𝘵𝘶 𝘸𝘢𝘬𝘪𝘱𝘰𝘵𝘦𝘢 𝘮𝘪𝘵𝘢𝘢𝘯𝘪??
 
MY TAKE: Watanzania, je tuwachukulieje hawa majirani ambao waliongoza dunia katika kutupaka matope na kutuombea mabaya ili Corona itusambaratishe?
Mimi binafsi naomba hali izidi kuwa mbaya zaidi ili Kenya tujifunze kuwa kutojina sisi ndio bora na wenye haki ya kuchukua maamuzi na wengine wanataki kutufuata . Maana tunapenda sana kujiona bora gapa A. Mashariki serikali yetu inamatatizo sasa asiefunzwa na ***** hufunzwa na ulimwengu , kwahiyo ulimwengu wenyewe ndio huu sasa
 
Mimi binafsi naomba hali izidi kuwa mbaya zaidi ili Kenya tujifunze kuwa kutojina sisi ndio bora na wenye haki ya kuchukua maamuzi na wengine wanataki kutufuata . Maana tunapenda sana kujiona bora gapa A. Mashariki serikali yetu inamatatizo sasa asiefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu , kwahiyo ulimwengu wenyewe ndio huu sasa
 
Ndio sababu nikakuambia jambo lenyewe kwasababu ni "Tetesi", liendelee kubaki kuwa Tetesi, hatupaswi kupoteza nguvu zetu kwa jambo ambalo bado ni Tetesi.
....kwa kuwa wanaokufa ni kuku si Watanzania, right?
 
Wacha porojo zako, sisi wote ni watanzania, hatuwaoni wala kusikia watu wanaokufa kwa Corona, hivi watu wafe na mitandaoni kuwe kimy?, Kigogo, Zitto, Lema, na wapinzani wore wawe kimya?. Huko wanakokufa kwa wingi utaweza kuficha?. Peleka porojo zako huko.
 
Hata huku Tz ipo na inaua! Tofauti yetu na Kenya ni kwamba sisi tumeamua kuficha ndio maana unaona kama hamna maambukizi.
Tuombe Mungu tu hili janga lipite ama ipatikane chanjo
 
Wacha porojo zako, sisi wote ni watanzania, hatuwaoni wala kusikia watu wanaokufa kwa Corona, hivi watu wafe na mitandaoni kuwe kimy?, Kigogo, Zitto, Lema, na wapinzani wore wawe kimya?. Huko wanakokufa kwa wingi utaweza kuficha?. Peleka porojo zako huko.
Ww ni fala unaleta siasa zako za kipuuzi kwenye afya za watu.
 
Wacha porojo zako, sisi wote ni watanzania, hatuwaoni wala kusikia watu wanaokufa kwa Corona, hivi watu wafe na mitandaoni kuwe kimy?, Kigogo, Zitto, Lema, na wapinzani wore wawe kimya?. Huko wanakokufa kwa wingi utaweza kuficha?. Peleka porojo zako huko.
Utawasikiaje na wakati hlo kwenu hakuna corona, sai hko watu wanakufa kw kukosa hewa tu
 
Wacha porojo zako, sisi wote ni watanzania, hatuwaoni wala kusikia watu wanaokufa kwa Corona, hivi watu wafe na mitandaoni kuwe kimy?, Kigogo, Zitto, Lema, na wapinzani wore wawe kimya?. Huko wanakokufa kwa wingi utaweza kuficha?. Peleka porojo zako huko.
huwezi kuona wahanga wa korona kwa sababu unashabikia blindly wanaokupa pilau, tisheti na kofia za dezo.

unaowashabikia kwa zawadi za pilau, tisheti na kofia wana sifa hizi:

1) wanaona sawa mtuhumiwa wa matrilioni (Kangi) kuwa huru mtaani lakini kijana (Magoti) anayetuhumiwa kwa 17M tu yupo selo miezi 6 sasa
2) wanamshinikiza polisi (Mroto) aseme uongo dhidi ya Mbowe kinyume na kauli yake ya awali
3) wakazi wa maeneo ambayo wananchi hawakumpa rais kura wamevunjiwa makazi yao huku wale wengine wakiachwa
4) toilet pepa za Musiba (Tanzanite, nk) zinaachiwa zitukane ba kutishia watu lakini magazeti mengine yanafungiwa hovyo
5) nk, nk, nk

ndugu, amka upone - achana na pilau, tisheti na kofia!
 
Kwani kumekuwaje?
Huku kwetu hatutangazi ndio maana hatujui linaloendelea
Corona ipo kila mahali ni wewe halijakufika lakini vifo ni vingi hata huku kwetu
Usifurahie wanayopitia jirani zetu nadhani tuwahurumie na kuwa support
Shida jirani zetu slums nyingi
Waleta Mada na wachangiaj nyie Hua hamf na corona ila mnaongoza kwa kusema Hali ni mbaya kua watu wanakufa kimia kimia kwann na nyie msife kimia kimia
 
Kwani kumekuwaje?
Huku kwetu hatutangazi ndio maana hatujui linaloendelea
Corona ipo kila mahali ni wewe halijakufika lakini vifo ni vingi hata huku kwetu
Usifurahie wanayopitia jirani zetu nadhani tuwahurumie na kuwa support
Shida jirani zetu slums nyingi
hapana kwa upande wetu tupo vizuri sana tuna case chache sana za Covid19
 
Kwani kumekuwaje?
Huku kwetu hatutangazi ndio maana hatujui linaloendelea
Corona ipo kila mahali ni wewe halijakufika lakini vifo ni vingi hata huku kwetu
Usifurahie wanayopitia jirani zetu nadhani tuwahurumie na kuwa support
Shida jirani zetu slums nyingi
Kwetu imepungua mnoooo
 
Wacha porojo zako, sisi wote ni watanzania, hatuwaoni wala kusikia watu wanaokufa kwa Corona, hivi watu wafe na mitandaoni kuwe kimy?, Kigogo, Zitto, Lema, na wapinzani wore wawe kimya?. Huko wanakokufa kwa wingi utaweza kuficha?. Peleka porojo zako huko.
Hawa wapumbavu walisema, Kwa kujiachia huko Watanzania tunawapa wiki 3 mpaka mutatafuta makaburi ya kuzikia wanaona miezi imekatika wanaanza propaganda zingine ohhh munaficha kama kuficha vifo kazi lahis bc wangeficha Italy au Brazil.wajuze tu Hii ndio bongo watu wanaishi kwa kuchemsha ubongo kama ubongo umelala au hufanyi kazi kama uhuru matokeo yake ndio haya ya Kenya ,wanazani tuliitwa wabongo wa bahati mbaya ?
 
Back
Top Bottom