Corona: Meneja wa Diamond na Mwana FA watangaza kuugua Corona baada ya kupimwa

Ni shida ya kuwa na viaongozi wa kuteuliwa maana hawakuwa na Nia ya kutumikia jamii... Kazi za uongozi napendekeza ziwe za kutangazwa wenye mioyo Safi ya uongozi waombe wachaguliwe.
 
Wanatuletea usanii kwenye mambo ya msingi huyo mwana FA alikuwa aumwi sijui wameamua kufanya hivyo ili iweje na ukijua alitengenezwa futilia kauli yake eti maralia inatesa zaidi kuliko corona jinga sana
 
hahahaaaaa bado tu DK MWAMPOSA
atupatie MAFUTA ya corona
majiya corona
udongo WA corona tumalizie
 
Miss you dear.
Corona haipo, ila usiache kuchukua tahadhari 😀😀😀
Yaan baba alikua ananifurusha huyo na hubby..khaaa! Nimekuja choka boda wa moro eeti wana mask🤣🤣km vinyagi vile nimecheka sana...!missn u more dogo lake! Leo bang wap!
 
Bongo kila maigizo na siasa nyingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
corona inauwa,kama hujafa leo jua badae lazima maana kinacho tibiwa ni dalili za ugonjwa lkn kirusi cha korona kina baki mwilini, sasa jiulize kirusi cha covid 19 kitaishi milini mwako hadi lini ?!
tafakari chukua hatua ya kujikinga usipate hiki kirusi ambacho hakina tiba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo tunaweza kuyachukulia kimzaha mzaha kama kipindupindu lakini athari zake zinaweza kuharibu uhusiano wetu nje.

Kama kweli mwana FA ana ngoma ya Corona basi Mungu amponye haraka maana tayari tunamlilia Aurlus.
Na kama siyo kweli basi awaombe radhi Afrika ya kusini na Dunia kwa ujumla kwa kuwa Corona inashughulikiwa kimataifa siyo kitaifa.

Ni hayo machache.
 
Tangu lini wasanii wakawa watu wa "maana"? Sijui kwanini watu huwa wanaabudu?
 
Mtu gani anaumwa corona anaudumiwa na mkewe kwa kila kitu wanakaa chumbani wanapiga story

Hizi ni propaganda za wauni yeye ana tofauti gani na wengine atibie akiwa na mkewe?

Huu ugonjwa unatumika kimkakati kuzima ajenda za kidunia ambazo zinasumbua vichwa vya tawala mbali mbali hasa za kidicteta!

Tungekuwa Makini toka mwanzo tungekuwa tayari tushafunga airport na mipaka watu wakae maeneo ayo kwa siku 14 ndio waingie nchini.
 
Mwana FA ni mwana ccm. Kwa nini msimuite mumkanye kwenye kile kikao chenu kama kilichomfukuza Membe?
 
Siyo kwamba wanaopona virusi vinakuwa bado viko mwilini, kinga ya mwili inapambana na kuvimaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…