watoto wameghairisha safari njiani kumbe ugonjwa wenyewe ni kama maigizo tuDuh! Wagonjwa hadi wanatype wodini what the **** is corona?
Huu sasa ujinga ona sasa nachoma 70k kurudi nyumbani kisa chuo kufungwa wakati wagonjwa wanapiga simu na kusema wanaendelea vizuri.
Aaah
Attention mtu anakuambia anaumwa?. Wabongo bwana. Huyu kuna uwezekano mkubwa ni kweli kapata maambukizi. Ksbb walikuwa ziarani ulaya. Ile campany yake vipi? Akiwemo DiamondUpumbavu mtupu!
Mbona hawa jamaa wanapenda sana attention?
UjingaCorona will score this kind of goal to Africa! View attachment 1393023View attachment 1393024
Elewa ugonjwa huu unaweza kuleta matokeo matatu, mild, severe and critical. Tafadhali angalia chart hiyo hapo chini na uzingatieHuu ugonjwa bado sijauelewa kabisa mbona China Watu walikuwa hoi , Huku Tanzania wagonjwa hadi wanachati ! Tunaomba Mungu atunusuru na hili Gonjwa Hatari
Sent using Jamii Forums mobile app
| Stage of severity | Rough percentage of people with COVID-19 |
| Mild disease from which a person can recover | More than 80% |
| Severe disease, causing breathlessness and pneumonia | Around 14% |
| Critical disease, including septic shock, respiratory failure, and the failure of more than one organ | About 5% |
| Fatal disease | 2% |
Ndio ulikuwepo tokea last year ndio maana unafupisha COVID-19(Corona Virus Disease 2019) na ungekuwepo muda huo wote bila kutambuliwa ba serikali tungekuwa tumeshapukutika mkuu.Huu ugonjwa ulikuwepo toka last year Dec na wizara husika haikujua ni ugonjwa gani zaidi ya kusema tuu kwamba ni homa kali na itaisha. Nadhani kuna mchina aliupeleka huko Wuhan
Ndio ulikuwepo tokea last year ndio maana unafupisha COVID-19(Corona Virus Disease 2019) na ungekuwepo muda huo wote bila kutambuliwa ba serikali tungekuwa tumeshapukutika mkuu.
Uwezekano wa kuwepo toka last year ni mkubwa, rejea post yangu hapo juu. Wengi tunaweza kuwa tulipata ''mild symptoms'' na kurecover bila hata kujua.Ndio ulikuwepo tokea last year ndio maana unafupisha COVID-19(Corona Virus Disease 2019) na ungekuwepo muda huo wote bila kutambuliwa ba serikali tungekuwa tumeshapukutika mkuu.
Kwa hiyo wewe ukajua ni niniMkuu amini ninachokuambia ulikuwepo huo ugonjwa sema hawa kujua ni nini?
Ujinga ni kutokufunga mipaka ya nchi na huku unaita press conference kutangaza wagonjwa wapya deile!Ujinga
Wasijaribu sumu kwa kuilamba.watoto wameghairisha safari njiani kumbe ugonjwa wenyewe ni kama maigizo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Na huo ni ujinga ila ww ni zaidiUjinga ni kutokufunga mipaka ya nchi na huku unaita press conference kutangaza wagonjwa wapya deile!
Kama ungekuwa ugonjwa serious huku Afrika hawa Wasanii wetu wangekuwa bize wanapigania maisha yao, badala yake wako bize wanachat..Ndio ulikuwepo tokea last year ndio maana unafupisha COVID-19(Corona Virus Disease 2019) na ungekuwepo muda huo wote bila kutambuliwa ba serikali tungekuwa tumeshapukutika mkuu.
mkuu kuchat kunasababisha maambukizi?Kama ungekuwa ugonjwa serious huku Afrika hawa Wasanii wetu wangekuwa bize wanapigania maisha yao, badala yake wako bize wanachat..
Corona is overrated..
Sent using Jamii Forums mobile app