Kwani magonjwa mengine huwa kinafanyika nini? Ukitaka kwenda China unatakiwa upime magonjwa zaidi ya matano...Kuna nchi zingine ni zaidi..why huwa wanatrust majibu wanayopelekewa why this corona iwe big deal..hujiulizi ww ata kidogo.Mapendekezo yako yako wapi?
Kwani magonjwa mengine huwa kinafanyika nini? Ukitaka kwenda China unatakiwa upime magonjwa zaidi ya matano...Kuna nchi zingine ni zaidi..why huwa wanatrust majibu wanayopelekewa why this corona iwe big deal..hujiulizi ww ata kidogo.
hajui kitu chochote huyu mtoto achana naye.Unazijua kero za kupimia madereva mpakani? Umefuatilia ata kidogo kinachoendelea mpaka wa Kenya na Uganda Kule Malaba? Unapendekeza ujinga alaf unajiona genious. Vipimo vinachukua zaidi ya 24hrs huo msongamano hapo mpakani unauhandle vp?
Mkuu utakuwa umenisoma ndivyo sivyo. Si kila mtu ni mwita watu wengine majina kijinga jinga.
Ila nilifurahi kupata uthibitisho wako kuwa mpaka ulikuwa umefungwa uthibitisho ambao kama ungetoka moja kwa moja tokea kwa waziri Profesa Kabudi (waziri wa mambo ya nje) ningelijua kuwa ulikuwa ni final and terminate.
Mkuu kwamba kuna migongano huko mipakani, mawazo yangu yako kwenye uzi yako wazi kabisa. Ni sababu ya kuwa Tanzania peke yake kama nchi, tuko nje ya protocols hizi za pamoja for whatever good or bad reasons of our own.
Miye kama binadamu mwenye haki ya kutafakari mizani inalalia wapi, ninayo haki ya kutambua kiini cha mzozo, mhusika mkuu, na hata mhanga ni nani.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu hivi sasa pana migogoro na wa kulaumiwa yupo. Nani wa kulaumiwa kwenye hili? Kwa sababu nilizoainisha wazi wazi kwa nionavyo miye wa kulaumiwa ni sisi.
Kama wewe unaona ni wao, sababu zako ziko wapi? Hawa wenzetu wewe ungetaka labda wafanye je ili kupisha hii migogoro?
Mkuu nitatembea vipi kifua mbele wakati dhamira yangu inanishitaki kuwa pana udhalimu wa nchi au washirika wangu mahali fulani?
nyie malaya mnaotafuta wanaume nchi za watu mnatusumbua sana.
swala hili tumesalisemea mara zote,ndio maana kuna kitu kinaitwa diplomasia,maana yake watu mkae mezai kupatana baadhi ya mambo ili kuepusha mikwaruzano,tulikaa mwanzo.
sababu iliyofanya wakakiuka waliyotamka wenyewe katka mapatano ni nini!!!kama sio ukorofi wao???sisi tunaheshimu msimamo wao,ndio maana tukasema kila dereva apimwe kwao.sasa sabu malengo yao hayakuwa kupambana na corona ndio maana hii injitokeza.
sasa safari hakuna mtu wa kupokea simu ya mlevi.
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
nawewe bado unagaya watu[emoji16][emoji16][emoji16]Hivi wewe hukuwa kwenye ile sample list ta *ignore*?
Ndiyo maana nimeona hii comment yako. Vinginevyo nilitaka Ku raise alarm kwa mods.
Huna hoja kelele za kipuuzi tu.
Kabudi is too big to involve in this childish matter. Nikuulize tu ..makubaliano ya waziri wa uchukuzi wa Tz na Kenya unajaua walichokubaliana? What happen baada ya hayo makubaliano? Zilifuatwa njia sahihi hata kama makubaliano hayo yalileta dosari au sintofahamu ? Dawa ya jeuri ni kiburi.
Na mind you, mpaka uliofungwa ni wa nchi moja tu, huko kwingine bado mazungumzo yanaendelea. Sasa hatuwezi kurudi nyuma wakati tulishamalizana na kenya kwenye ishu ya mipaka.
Mkuu kwa nini ni vigumu kutamka tunachotaka?
Si kuwa tunataka kila nchi isipime wageni?
Hivi tuko na maslahi gani kwenye hilo?
U have very low reasoning abilityMkuu jikite kwenye mada.
Unashindwa kusema acha nikusaidie basi:
Unataka kila nchi isiwapime wageni wake. Kwa sababu haka kaugonjwa ni kaupepo tu katapita. Kwanza dawa ipo ni kufukiza nyungu, maombezi na mitishamba.
Ukipata hilo kuna migogoro tena?
Si ndicho unachotaka?
Si useme tu?
Kwa hiyo unaamini vyeti vya Corona toka Kenya kwa sababu hawajawahi kutangaza na vyeti/vitu 'hewa'? Na unasema kwamba vyeti vy Corona vya Tanzania si vya kuamini kwa sababu Tanzania kuna 'hewa'? Hahaa, wewe ni Mtanzania kweli? Wakenya walipotangaza kwamba Mlima Kilimanjaro na hata Olduvai gorge vipo Kenya uliamini pia? Je, WHO imeshawahi kutoa muongozo ambao lazima nchi zote duniani zifuate katika kudhibiti Corona? Hebu weka hapa huo muongozo kama kweli upo.Sikia wewe huwezi pata ruksa (viza) ya unakokwenda tokea mamlaka za unakotoka. Hiyo ni common sense tu.
Kwetu nani asiyejua vitu *hewa*? Si ajira, si vyeti, si vibarua nk. Sembuse cheti cha Corona. Tusitake kujidanganya wandugu.
Tusisubiri kukosolewa, tuwe na ujasiri wa kujikosoa wenyewe kwenye mambo ya wazi kama haya.
Ndiyo uungwana huo. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Makubaliano kitu gani? Hata makubaliano yakiwa mabovu yaendelee tu? Mbona ya hata ya mtoto wa Barrick (acacia) na makinikia tulipoona hayalipi tuliyapiga teke mchana kweupe?
Makubaliano yasiyokuwa na tija wala maslahi kuyapiga teke mbona ni wajibu (noble duty)!
Tatizo unadhani umetumia akili sana kuandika uzi wako na kutaka kulazimisha wote tuone hivyo, kumbuka tunatofautiana upeo hivyo inawezekana unachokiona wewe kwa kiasi cha upeo ni tofauti na wengine kuazisha uzi JF hakukufanyi kuwa special.Soma uzi. Kama bado kapa - zipo Facebook na Instagram kwa ajili yako.
Pole lakini.
Tunataka makubaliano tuliyowekeana yaheshimiwe. Hivyo tu.
Kwa hiyo unaamini vyeti vya Corona toka Kenya kwa sababu hawajawahi kutangaza na vyeti/vitu 'hewa'? Na unasema kwamba vyeti vy Corona vya Tanzania si vya kuamini kwa sababu Tanzania kuna 'hewa'? Hahaa, wewe ni Mtanzania kweli? Wakenya walipotangaza kwamba Mlima Kilimanjaro na hata Olduvai gorge vipo Kenya uliamini pia? Je, WHO imeshawahi kutoa muongozo ambao lazima nchi zote duniani zifuate katika kudhibiti Corona? Hebu weka hapa huo muongozo kama kweli upo.
Ni lini serikali ya Tanzania imetangaza kwamba Corona imeisha, zaidi ya kusema imepungua?
Yaliyokuwa yamekubaliwa ni nchi kupimiwa wageni wake na jirani yake kwa nia njema ya kuokoa muda mipakani.
Imeonekana hii haina tija kwao maana kuna watu wetu wana vyeti kuwa hawana Corona lakini wakipimwa kule wana huu ugonjwa Corona ambao wenzetu wanauona kuwa ni janga.
Mimi na wewe kama watanzania vita vya mambo hewa huku kwetu si vigeni.
Utaratibu huu sasa kama ule wetu na ACACIA, wenzetu sasa hawautaki.
Haki bin haki, mkororofi nani hapo? Hilo ndilo chimbuko la uzi nothing more nothing less.
Tatizo unadhani umetumia akili sana kuandika uzi wako na kutaka kulazimisha wote tuone hivyo, kumbuka tunatofautiana upeo hivyo inawezekana unachokiona wewe kwa kiasi cha upeo ni tofauti na wengine kuazisha uzi JF hakukufanyi kuwa special.
Watu wanajadili hili tatizo la mipaka na kwenda kinyume na walivyokubaliana wewe unaingiza story zako za kila siku juu ya corona na Tz kana kwamba wakati Kenya wanaingia makubaliana hawakuwa wakiiijua Tz.
Muda wote nakuona unawaambia wachangiaji wajikite kwenye hoja husika ila kumbe wanakuiga wewe. Maana naona unaruka ruka tu kwa ishu mbali mbali. Hapa ishu ni corona na mipaka.
Sasa hao kenya waliingia kwenye makubaliano ya nini kama hawaamini vipimo vyetu? Na hata hivyo kwa nini hawakuwa wazi kwamba wanavunja makubaliano kwa kufuata njia sahihi badala yake wakaanza kupima upya?
Unadhani kenya ina mamlaka makubwa kuliko nchi yako? Kwamba inaweza tu yenyewe kuvunja makubaliano bila kufuata taratibu? Unadhani kwenye hili saga ni upande upi uko sahihi?
Sioni wapi ambapo sikujikita kwenye mada. Nikinukuu maneno ya baba wa taifa (rip), "nimesoma mabandiko yangu yote, sioni tatizo mahali popote."
Nimekuwa wazi kabisa hata kuomba mwenye kujua mzizi wa fitina auweke hapa kwa maslahi ya pande zote.
Nini kinatakikana:
1. Wageni wapimwe kule wana kwenda.
2. Maabara ya pamoja
3. Wageni wapimiwe tu wanakotoka.
4. Mpaka ufungwe kwa sababu #1 #2 wala #3 hayakubaliki.
Ni hapo tu ndipo penye mada kwani patamweka dhahiri mkorofi ni nani.
Mpenda haki ni mpenzi wa Mungu.
Mkuu uko nje ya Mada:
1. Kila mtu apime wageni wake.
2. Tuwe na maabara ya pamoja
Mbona unaruka ruka mkuu?
Huoni kuna tija hapo hadi tufike kwenye kufunga mpaka. Tunachotaka sisi ni kuwapimia wao tu?
Mbona makubwa? Kuna agenda gani kwenye kuwapimia hadi tunga'ang'anie hivi?
Alievunja makubaliano ndio mkorofi. Unakumbuka makubaliano yalisemaje baina ya pande zote mbili?