Corona: Rais Kenyatta katika ubora wake na funzo jingine kwetu

Hii mijamaa ikikuelewa:



usiache kuni tag mkuu.

Iko radhi tufe wote. Option ya kuwa achanjwe japo anayetaka bado haiitaki.

Haina tofauti na mi suicide bomber!
 
Hukumalizia. Ungekamilisha kabisa kuwa ndiyo maana jiwe ame rip fasta fasta bila kutegemea.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Hii mijamaa ikikuelewa:

View attachment 1735757

usiache kuni tag mkuu.

Iko radhi tufe wote. Option ya kuwa achanjwe japo anayetaka bado haiitaki.

Haina tofauti na mi suicide bomber!
Ni wajinga kabisa mkuu. Aliyekuwa kwenye usukukani alibisha kiko wapi sasa. Ukihesabu watu walipotoza maisha kwa corona Tanzania ni wengi sana. Ile wave ya kwanza tu iliua watu wengi. Hii ya pili ndiyo kabisa imeenda na mwenye nchi aliyekuwa hataki kusikiliza ushauri. Nihasara nchi kuongozwa na watu wasioelimika na wabishi kama hawa.
 

Huku si sikio la kufa tu bali ni kusikia kwa vyenge kabisa!
 

Mwenye kazi ni wewe siyo?

Ni heri mno kugongewa kuliko wewe mwenye kazi ya kugongwa.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Hii mijamaa ikikuelewa:

View attachment 1735757

usiache kuni tag mkuu.

Iko radhi tufe wote. Option ya kuwa achanjwe japo anayetaka bado haiitaki.

Haina tofauti na mi suicide bomber!
Death is inevitable, kifo hakiepukiki, uwe na chanjo, usiwe na chanjo, siku zako za kuishi zikiisha utakufa tu mjomba.

Covid-19 isn't the only disease that kills, due statistics from Johns Hopkins University, only 3% of patients contacted the CoronaVirus dies.

Mjomba, hiyo namba ni ndogo sana ukilinganisha na idadi ya watu wanaokufa kwa "Malaria" duniani.
 
Mkuu huyo hawezi kukuelewa akili yake ni ya kuvukia barabara tu!
 
Brazaj
Brazaj vipi unaweza fanya fasta tuko Namanga hapa tunakusubiri twende tukachanje, usiandike tuu, chukua hatua, lini unaingia hapa tuingie Nairobbery
 

Usichokitambua ni kuwa % ndogo ya namba kubwa sana nayo huwa ni namba kubwa pia.

Yako hiyo ndiyo iliyokuwa hesabu fyongo ya jiwe. Akajifariji kuwa wa kufa watakufa na wa kuishi wataishi ajijidhania kuwa yeye ataishi.

Sasa hivi atakuwa kaelewa vyema vyema sana. Lakini kaelewa akiwa kesha chelewa mno kufanya lolote lililo la maana kuhusu yeye.

Ama kweli Majuto ni mjukuu.
 
Kenyatta ni mlevi flani tu. Tena Kironiki alcoholic. Unao uhakika hiyo ni chanjo ya corona? Kama kadungwa water for injection kugeresha wananchi wake na wajinga wengine wa EA na Afrika.kwa ujumla?

Huyu hakuwa na mpango wa kuja Tanzania kuhani. Alishazunguka Nairobi na msafara wake akaenda ubalozini kutia sahihi kitabu cha kumuomboleza JPM akiwa na baadhi ya wapambe.

Alipona nyomi ya waombolezaji hapa Tanzania akaiona ile ni fursa, ghafla akaja Dodoma. Dodoma akasikia azana akaiheshimu kwa kumuiga mtu anatwa Najibu Balala ambaye alishafanya hivyo huko kipindi cha nyuma Kenya na hii ikawa moja ya tabia za kuigwa Kenya.

Kachanjwa chanjo ambayo na amini ni chanjo geresha/placebo tena kasubiria siku JPM anazikwa Chato. Wakijua watawapata wengi siku hiyo wakiwemo waliovutiwa na kitendo chake cha kupisha adhana, ili kutangaza huu upuuzi wao na wapiga deal wenzake wakina Bill Gates katika kukuza soko lao la kuuza chanjo za kumaliza kizazi cha Waafrika, barakoa, vipima joto na vifaa tiba vingine.
 
Brazaj

Brazaj vipi unaweza fanya fasta tuko Namanga hapa tunakusubiri twende tukachanje, usiandike tuu, chukua hatua, lini unaingia hapa tuingie Nairobbery

Kwa taarifa yako haipo nchi yenye kujitosheleza kwa chanjo duniani kiasi cha kumpa raia yeyote wa kigeni kabla ya wenyeji kupata.

No wonder uko nanyamba na sasa unajidhania uko namanga.

Wewe endelea tu kunyamba huko huna lolote achilia mbali unalo lijua jombi.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Si omba urai wa kenya na wewe ukapate chanjo

Kwa sababu wewe unadhani una haki zaidi na nchi hii kuliko wengine?

Utakuwa na shahada ya uzamivu kwenye ujinga uliopitiliza!

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Mkuu huyo hawezi kukuelewa akili yake ni ya kuvukia barabara tu!

Vipi biashara ya nyungu @ 5,000/person bado inalipa?



Kama Manju mwenyewe ndiyo huyo kungali na usalama kweri?
 
Aiseee nilifikiri uko serious na hii issue ya chanjo, kumbe umeanzisha thread ili ufanye utani, basi endelea na jokes za hii thread yako ya kimagumashi!
 
Nielewesheni.
Mbona sasa wanaomchanja wamevaa barakoa? maana hao pia walishachanja chanjo inakuaje wavae barakoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…