Punguza ma feelings, kwnza mumefikia wapi na huo ungo wenu.And you're starving daily...Halafu sisi soko letu ni huko chini SADC..huko juu EAC ni maghumashi.,kwanza hamna hata hela.
Then ambia Magufuli afunge border ya Kenya na Uganda😂😂. Huko na hasira sana broh.Vipimo vyenu hatuviamini kwanza vilitofautiana na Uganda...halafu muache kwenda uganda mnaongeza maambukizi
Watazitishia nchi za SADC lkn hku juu hawatoboiNilimwambia Uganda is just an eye throw away. Even Mexico is there for us na cheap maize.
Basi ana ubavu huo, kodi mzee. Kenya inaijenga sana tz kiuchumi na hilo analielewa sana.Then ambia Magufuli afunge border ya Kenya na Uganda[emoji23][emoji23]. Huko na hasira sana broh.
Hahaaa!!tumepewa na mabeberu tuwadidimize kiuchumiVipimo vyenu hatuviamini kwanza vilitofautiana na Uganda, halafu muache kwenda uganda mnaongeza maambukizi
Look at this absurd!!! Hata simple logic unashindwa tumia!! Mmeruhusu mizigo kutoka huku,inamaanisha bidhaa kutoka huku mnazihitaji mno,and mostly are agricultural products.Uhuru sio mjinga kama yule Kinjeketile Ngwale. More Kenyan goods are crossing going to Tanzania as compared to the other way round. We are selling more goods to you as compared to what you are selling to us.
Hii nchi inaitwa MTAKUJAMwaka unaisha sasa unga wenu tumeususia, km hamtaki kuuza mahindi unga jiuzieni wenywe[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
GMO for realNilimwambia Uganda is just an eye throw away. Even Mexico is there for us na cheap maize.
Hapo ulipo unanuka njaa na jeuri yote hyo, this is doner county haiwezi yumbishwa na kanchi kadogo kenye njaa kila mwaka [emoji3][emoji3]Uhuru sio mjinga kama yule Kinjeketile Ngwale. More Kenyan goods are crossing going to Tanzania as compared to the other way round. We are selling more goods to you as compared to what you are selling to us.
Nyie hamuwezi leta impact yoyote kwetu zaidi ya kelele.., hata Magu analijua hilo..that's why anawafungia vioo... Halafu mkaona mlipishe kwa hivi ...mkisahau kuwa your truck drivers take the lead in Uganda defeating even those from Tz...wajinga ninyi.
Endelea kupiga ngonjera, huyu kinje unayemwita amefanya marais 15 wamepanick wasijue nini wafanye.Uhuru sio mjinga kama yule Kinjeketile Ngwale. More Kenyan goods are crossing going to Tanzania as compared to the other way round. We are selling more goods to you as compared to what you are selling to us.
Kweli??!!! Ok tusubiri....I can remember telling joto la jiwe the same thing. Kenya is not a country to be given directions by inferior countries like Tanzania.
Hakuna ushindani wa kukomoana na wa wazi baina ya nchi na nchi ulio mwepesi. Hata kwa anayeibuka mshindi huwa kuna matokeo baada ya kumkomoa mwenzio, na matokeo ni lazima yakuumize sehemu flani.endelea kupiga ngonjera,huyu kinje unayemwita amefanya marais 15 wamepanick wasijue nini wafanye.
wakati wewe unawaza kuuza blue band na kiwi za viatu,sisi tunakuuzia mahindi na maharage.mimi nilitegemea kauli ya kiume kutoka kwa kenyata kwamba aisee,hakuna roli kukatiza namanga hapo.
hapo ndio ungejua nani mwenye mbwa ukanda huu,but uhuru anajua nani anakoroma ukanda huu.imebidi aongee kijanja.
You have been waiting since 1977.Kweli??!!! Ok tusubiri....
Ni vyema muwarudishe.Umepata habari za madereva wenu leo wametimuliwa, hatuyumbishwi na kauli za wana lumumba
Sent using Jamii Forums mobile app
Tomorrow expect to see another 50+ Tanzanians drivers being denied entry into Kenyan soil. We don't give a fk what the southern witch has to say about Kenya.Ni vyema muwarudishe.
wakija huku wanawanakaribishwa na barakoa za MO,kisha mpaka hospitali wanhakikiwa upya.halafu baada ya kujihakikishia hawana corona wanaruhusiwa wakaendelee na shughuli zao.
I was talking about sugar not fish, what type of discussant are you?, why can't you finish one thing before you move to another point?.You don't know anything about Somalia. They even export fish to Kenya.
But you expect to see many Cargo vehicles crossing from Tanzania with tons of food, isn't?Tomorrow expect to see another 50+ Tanzanians drivers being denied entry into Kenyan soil. We don't give a fu-ck what the southern witch has to say about Kenya.
Mzee baba afunge mpaka kwanini? Alishakataa toka corona inasoma 1.tena sio kwa kenya tu,n chi zote tunazopakana nazo.Basi ana ubavu huo, kodi mzee..
Kenya inaijenga sana tz kiuchumi na hilo abalielewa sana
Sent using Jamii Forums mobile app