Corona: Tanzania kuzuia chakula na bidhaa zingine kupelekwa Kenya

Cry baby. Kenya has shown Magufuli middle finger.
[emoji16][emoji16][emoji16]una maimuvu makali sana.sisi ndio wa kuongea ukanda huu,hakuna kima yeyote.

wengine wananung'unika tu.
 
Hiyo border tutafungua tukijiskia. After those 30 days we can decide to extend the closure.
since then haina madhara yoyote mnaweza ongeza hata miezi 6.maana hakuna atakayewauliza hata baada ya tamko la jana.
 
Mbona Rahisi sana suluhisho la usafirishaji mizigo! joto la jiwe ali suggest Madereva wa Tanzania waache magari namanga, Basi mimi naongeza hili - Dereva wa Kenya achukue afikishe mzigo, akirudi awache gari border.
Exchange point kwa border magari yanafanywa sanitization
 
Kwanza mmeitangazia dunia kua vyakula vyenu vina corona.....ujue kua ukufanya hivo na kwa jinsi dunia inavomchkulua huyu mhuni aliyejichimbiaa chato basi dunia inaweza kuungana na kususia vyetu vingi alafu wao wakashirikiana....
Mfano ikitokea maana yake korosho watanunua na wanajeshi wetu? Kahawa utamuuzia nani.? Madini yetu watasema yana corona ...hajuna kuuza samaki nje. Haya yakitokea wala sio shida kwa magufuli na ccm bali ni shida kwa wakulima na watz....
 
Una evidence ama ni porojo tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juu mlizuia tulikosa mahindi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaona wakenya mwenyewe wamenyamaza kimya hata like hawa thubutu kutoa kwa wajinga kama wewe maana wanajua moto wa tz kufunga mpaka na kuzuia chakula Kenya lazima jubilii ipigwe chini.

Send by APOLO 1
Si eti tumenyamaza, if you argue with a fool chances of becoming a fool is high. Think before you leap. It work both ways, bila biashara mimi ntakosa bidha wewe utakosa hela thats it. Khabari ya kufunga mipanga hiyo is beyond our control kiufupi ni siasa. Na kuhusu masoko mimi binafsi niko mombasa na nimeshuhudia vyakula vya kutoka Ethiopia na Sudan vikiingia sokoni incase Tanzania kuna shida.
 
Hahahaha, Ethiopia na Sudana zinazalisha chakula cha ziada kuweza kulisha Kenya?, wacha kujidhalilisha. Leo hii Kenya inalishwa na Ethiopia kweli?, hii ni aibu kubwa sana kwa Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha, Ethiopia na Sudana zinazalisha chakula cha ziada kuweza kulisha Kenya?, wacha kujidhalilisha. Leo hii Kenya inalishwa na Ethiopia kweli?, hii ni aibu kubwa sana kwa Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
πŸ˜„ πŸ˜„ πŸ˜„ Naongeza msistizo never argue with a fool, mpakani wakulima wapo wanaoweza leta bidhaa zao sokoni.si lazima nchi nzima ilime ndio watuuzie,think πŸ€”
 
Get prepared for countrywide famine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Point of correction bruh, in African countries famine is not caused by shortage of supplies but inasababishwa na siasa mbaya, ufisadi na utumiaji mbaya wa mamlaka. Kama tunavyoona sahizi Uhuru na Magufuli wanapo ongea maneno yao hawafkiri watu wamapato ya chini na athari zake.
 
Tulia basi,
Ushawahi kuona hata shamba la mpunga Kenya??

Hao wanalima maua, Kahawa na Chai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…