Anadhani Tz inategemea kilimanjaro, chuga na tanga, hajui hiyo kanda ya kaskazini inajilisha na ndio inauzia kenya.Mikoa yenye kuzalisha chakula Tanzania ipo kusini mwa Tanzania, mazao yao yote wanauzia kusini mwa Afrika, Kenya sio miongoni mwa soko muhimu kwa chakula cha Tanzania ukilinganisha na DRC, Zambia, Malawi na Zimbabwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Leta figures from credible sourceBoda kati ya Kenya na Tz ilifungwa kwa miaka saba, na uchumi wa Kenya haukutikisika. Kumbuka waganda ndio wanauza bidhaa nyingi Kenya, zaidi ya watz.
Wakulima wenu wanatafuta pesa au sifa? Hivi unadhani wanabiashara wa Kenya wanashurutishwa na mtu yeyote yule kwamba wanunue bidhaa kutoka Tz? Mkivuruga biashara wakati wao ndio wana hela watatafuta option nyingine, hii itageuka kuwa fursa nzuri sana kwa wakulima wa Kenya na Uganda.Haya mmeshapewa masharti sasa uamuzi uko kwenu kusuka ama kunyoa! Na sisi watz hatubembelezi
Lakini takwimu za Namanga zimesimamia kucha kuliko borders zote.haya mambo yanahitaji utulivu sana.vinginevyo huwezi kuyaelewa mkuu.hongera kwa kutafakari.
haingii akilini mkenya,mzambia,mnyarwanda,mganda-wote wanatangaza madereva kadhaa wa corona kutokea huku!!!,kwamba tunawahujumu ama vip!!!
Masharti gani hayo, km mna uwezo hicho chakula hata msikiwache mpakani. Waambie warudi nacho chato..hahaaMmeshapewa masharti sasa uamuzi ni wenu
kauli yako hii ikisomwa na mumeo,unapewa talaka,hujui anaumia kiasi gani.Masharti gani hayo, km mna uwezo hicho chakula hata msikiwache mpakani..
Waambie warudi nacho chato..hahaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui lolote kuhusu biashara kati ya Tanzania na SADC. Kelele za wakenya ndio zinakufanya ufikirie Kenya kwamba ni nchi muhimu katika biashara na Tanzania sio?. Pale border Tunduma, kwa siku moja Bakhresa anapitisha zaidi ya malori kati ya 100 -150 yanayopeleka bidhaa zake Zambia na DRC, Malawi na Zambia products zilizojaa Supermarkets ni Azam tu.Sadc?? Tuwe serious kidogo kabla ya kuwatia umaskini wakulima
wanaweza kuwa na haki but the move spoil everything.Lakini takwimu za Namanga zimesimamia kucha kuliko borders zote.
Ngoja tuone.
Hahahaha, Kenya mnakuja kwa njaa zenu, sisi soko letu la vyakula ni WFP na nchi za SADC, Kenya hatuwahitaji mnakuja wenyewe kubembekeza tuwauzie chakula.Wakulima wenu wanatafuta pesa au sifa? Hivi unadhani wanabiashara wa Kenya wanashurutishwa na mtu yeyote yule kwamba wanunue bidhaa kutoka Tz? Mkivuruga biashara wakati wao ndio wana hela watatafuta option nyingine, hii itageuka kuwa fursa nzuri sana kwa wakulima wa Kenya na Uganda.
Hahaaa!!km unavyojidanganya kenya sokoni huaga malori ya vyakula ni ya tanzania pekee..Hao wakulima mnaowaona wanakuja huko, ni chini ya 5% ya wakulima wa Tanzania, wengi wao hutokea mikoa Jirani na Kenya, hawapendi kusafirisha bidhaa zao kwenda kusini mwa Africa kutokana na umbali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wakulima waTz watatafuta option nyingine vilevile.Wakulima wenu wanatafuta pesa au sifa? Hivi unadhani wanabiashara wa Kenya wanashurutishwa na mtu yeyote yule kwamba wanunue bidhaa kutoka Tz? Mkivuruga biashara wakati wao ndio wana hela watatafuta option nyingine, hii itageuka kuwa fursa nzuri sana kwa wakulima wa Kenya na Uganda.
Ukimaanisha nini, Namanga inaingia Mara 5 kwa Tunduma, yaani volume of trade ya Namanga border ni Mara tano ukilinganisha na boda ya Tunduma.Lakini takwimu za Namanga zimesimamia kucha kuliko borders zote.
Ngoja tuone.
Uganda ndio wanauza bidhaa nyingi nchini Kenya hapa AM zaidi ya Tz, sanasana mazao ya wakulima. 70% ya mahindi ambayo Kenya inaagiza kutoka nje yanatoka Uganda. Mtawatesa wakulima wenu bure kwa kupenda sifa za kijinga, hamna leverage yeyote dhidi ya Kenya. Uganda Becomes Kenya's Biggest Partner Within EACLeta figures from credible source
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushirikiano upi unaoutaka wewe?Duh... Watanzania tuache roho mbaya, tuache ukaidi, tushirikiane na wenzetu kukabiliana na virusi vya korona
Maisha yamebadilika,nani alijua kama Nairobi itakuja kukosa maji kwa mwezi mzima?Wewe ama ni mtoto au ni mpumbavu. Baada ya EAC ya mwanzo kuvunjika mpaka wa Kenya na Tanzania ulifungwa kwa zaidi ya miaka mitatu, Wakenya waliishije?
Takwimu za maambukizi ya madereva wa Tz.Ukimaanisha nini, Namanga inaingia Mara 5 kwa Tunduma, yaani volume of trade ya Namanga border ni Mara tano ukilinganisha na boda ya Tunduma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha uongo, 75% ya mahindi na 52% ya legumes, 89% ya mchele vinatoka Tanzania. Kenya na Uganda lazima Volume of trade kati yenu iwe kubwa kutokana na kwamba hamna Jirani wengine mnaofanya nao biashara.Uganda ndio wanauza bidhaa nyingi nchini Kenya hapa AM zaidi ya Tz, sanasana mazao ya wakulima. 70% ya mahindi ambayo Kenya inaagiza kutoka nje yanatoka Uganda. Mtawatesa wakulima wenu bure kwa kupenda sifa za kijinga, hamna leverage yeyote dhidi ya Kenya. Uganda Becomes Kenya's Biggest Partner Within EAC
Leta takwimu, nimekupa link ya kusupport nilichozungumzia. Kama unabisha kwamba Uganda wanauza bidhaa nyingi Kenya zaidi ya Tz na kwamba 70% ya mahindi ambayo Kenya inaagiza kutoka nje yanatoka Uganda tupia ushahidi. Kumbuka kwamba % hiyo ya mahindi sio yale ambaye wakenya wanatumia bali ni deficit(pengo), ambalo linawachwa baada ya mahindi ambayo yanakuzwa na wakulima wa Kenya kutumika.Wacha uongo, 75% ya mahindi na 52% ya legumes, 89% ya mchele vinatoka Tanzania. Kenya na Uganda lazima Volume of trade kati yenu iwe kubwa kutokana na kwamba hamna Jirani wengine mnaofanya nao biashara.
Uganda inategemea soko la Kenya by 90%, Kenya inategemea soko la East Afrika by 80%, Tanzania inategemea soko la East Afrika by only 20%.
Sent using Jamii Forums mobile app
1. Wao wale pesa zao sisi tunakula chakula chetu.Hizi ni akili fupi sana.
Suala la kupeleka chakula Kenya ni suala la kibiashara (Nipe chakula nikupe pesa), sio suala la msaada.
Ukiona mkulima wa Tanzania anauza mazao yake Kenya na kuacha kuuza hapa hapa Tanzania basi ujue bei ya kuuzia Kenya ni kubwa na yenye faida kwa mkulima.
Hivyo katikati ya mivutano ya namna hii, huenda watanzania tukaumia zaidi kiuchumi kuliko hata Kenya.