Oii
JF-Expert Member
- Sep 8, 2017
- 3,930
- 3,128
Anadhani Tz inategemea kilimanjaro, chuga na tanga, hajui hiyo kanda ya kaskazini inajilisha na ndio inauzia kenya.Mikoa yenye kuzalisha chakula Tanzania ipo kusini mwa Tanzania, mazao yao yote wanauzia kusini mwa Afrika, Kenya sio miongoni mwa soko muhimu kwa chakula cha Tanzania ukilinganisha na DRC, Zambia, Malawi na Zimbabwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app