Tetesi: Corona virus: lran imekataa msaada kutoka Marekani

Tetesi: Corona virus: lran imekataa msaada kutoka Marekani

Huyu Mzee ni masikini jeuri !! Msimamo wake unatesa raia wake, hizo propaganda za kirusi kutengenezwa Marekani angezipumzisha wakati huu wa dharura.

Anakataa msaada wakati raia wake wanataabika kwa ugonjwa na madaktari wameishiwa mpaka vifaa tiba huku wengi wakiambukizwa wakati wakitoa huduma.
Mkuu MArekani mwenyewe hajiwezi kwa janga hili.
Kama anataka kuwasaidia Irani yeye apunguze vikwazo walivyo iwekea Iran kiasi wanashindwa kuagiza baadhi ya madwa na vifaa au malighafi za kutengeneza madawa na vifaa tiba.

Msaada wa kinafiki sana huu, siku tatu au tano zilizopita kawaongezea vikwazo Iran mbele ya ombi la Iran kuondolewa baadhi ya vikwazo vinavyo husu huduma muhimu za kibinadamu waweze kupambana na COVID-19.
 
Mkuu MArekani mwenyewe hajiwezi kwa janga hili.
Kama anataka kuwasaidia Irani yeye apunguze vikwazo walivyo iwekea Iran kiasi wanashindwa kuagiza baadhi ya madwa na vifaa au malighafi za kutengeneza madawa na vifaa tiba.

Msaada wa kinafiki sana huu, siku tatu au tano zilizopita kawaongezea vikwazo Iran mbele ya ombi la Iran kuondolewa baadhi ya vikwazo vinavyo husu huduma muhimu za kibinadamu waweze kupambana na COVID-19.
Huu ugonjwa ni suala la dharura ni vyema akubali kwa wakati huu ili aokoe maisha ya raia.
 
Kuwajari = Kuwajali.
Kwanza unapaswa kufahamu kwanini America anaiwekea vikwazo Iran pili unapaswa kufahamu historia ya haya yote na tatu kwanini president Trump alizungumza mwezi March mapema yuko tayari kuisaidia Iran.

Ukiyajua yote hayo ukaweka ushia pembeni utakuwa mtu huru sana na pengine ukafika America siku moja!

Mwisho, Kunidharau kwako hakunipunguzii chochote wala kuongeza chochote ila ni kosa kwa mujibu wa sheria za JF nakusihi uzipitie upya
Haaaaa kwa hiyo ukiwa mshia huruusiwi kuingia marekani?
Maana waajemi wenyewe ambao ni washia haswa wamejaa ndani ya marekani na wengine wanafanya kazi kwenye makampuni makubwa ya kimarekani na wengine ni waadhiri kwenye vyuo vikuu ndani ya marekani na wengine ni raia kabisa wa marekani.
Kingine kama dharau yangu kwako sio kitu na hauteseki nayo ,sasa mbona unateseka na ushia wangu?
Eti wenda nikafika marekani siku moja wewe unanijua mpaka uje kuniambia hivyo ?je kama nilishawahi kwenda?
 
Hakuna ama hata wewe huna sababu yamsingi nayakueleweka yakwanini jamaa wanaekewa vikwazo

wanachokitaka wao nikuwazorotesha jamaa kiuchumi ila wanapambana sana lakini wanaona jamaa bado wamekaza nawashachemka tena maana hawatakaa waweze tena milele

Sent using My COVID-19
Kwa hiyo lengo la US ni kuwazorotesha tu wairan kiuchumi like seriously?
Mbona Iran sio mshindani wa America kiuchumi au umepitiwa badala ya kuandika Italy umeandika Iran?
 
Mkuu mwenye kauli ya mwisho Iran (fatwa) ni Ayatullah, hakuna sindikizo lolote kutoka ndani, yaaani Wairani Ayatullah wanamuheshimu kuliko kitu chcochote
Atakuwa amesha changanyikiwa. Anakataaje msaada ambao wala hajaahidiwa kupewa?
Kama ni kweli ameitoa hiyo kauli basi atakuwa anarumbana na wananchi wake, huenda kuna shinikizo kutoka ndani kwamba akaombe msaada Marekani na yeye anawajibu kuwa hatawaomba msaada. Lwa hivyo hapo sioni kama anawajibu Marekani bali ni malumbano yao ya ndani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo sahihi, Mmarekani mjanja mjanja sana. Na Iran wana sababu nyingi za kutomwamini US lakini ni vizuri kuchukua msaada for the sake of your people.
Anasubiri mchina ndo aje kumsaidia labda ndio atmuamini kwa sababu ni muhanga mwenzake na wote adui yao mmarekani
 
Marekani wenyewe wameshindwa kupambana nao ugonjwa achilia mbali kushindwa kuwasaidia NATO wao Italy na Spain, ndiyo waweze kutoa msaada kwa Iran?! Iran nchi ambayo wameiongezea vikwazo hivi majuzi wakati tayari ugonjwa umeishaishambulia!?
 
Sasa wale wanao rambwa sana ndio wasaidiwe iran watasaidiwa ila sio na wamarekani wamarekani wao wenyewe wanataka msaada corona isha anza kuwaramba huko nao kama kumbu kumbi wana anguka tuuu

Sent using My COVID-19
[emoji23][emoji23][emoji23] Kwa hiyo unawapangia wa kuwasaidia!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hali mbaya anayo sema anaficha tu.

Hivi vikwazo vimedumaza sekta yao ya afya ndio maana wanataka vikwazo viondolewe.
Pamoja navikwazo vinavyo waandama katika sekta yao ya afya ambavyo unadai vinadumaza sekta yao ya Afya sidhanii kama kuna nchi hatamoja toka bara unaloishi ambayo inaizidi IRAN Kwakua Nasekta Makini Ya Afya

Sent using My COVID-19
 
Huu ugonjwa ni suala la dharura ni vyema akubali kwa wakati huu ili aokoe maisha ya raia.
Akubali nn kwa nn asimuondolee vikwazo yeye kwadharura

Anajua kama atawaondolea vikwazo kwadharura tu baada ya janga kuisha atamkuta sio yule aliemuekea vikwazo

Sent using My COVID-19
 
Kama sio mshindani wake vikwazo anavyomuekea vyakazi gan ?!
Kwa hiyo lengo la US ni kuwazorotesha tu wairan kiuchumi like seriously?
Mbona Iran sio mshindani wa America kiuchumi au umepitiwa badala ya kuandika Italy umeandika Iran?
IRAN Mshindani Wamarekani kwakila Nyanja Kisiasa Kijeshi Nampaka Kiuchumi Naukitaka Kufahamu Hili Hamna Hata Nyanja Moja Katika Hizi Nlizozitaja Ambazo US Hajamuekea Vikwazo IRAN

IRAN Anavikwazo Vyakutoka Marekani Vyakisiasa Vyakijeshi Nampaka Vyakiuchumi

Sent using My COVID-19
 
Na, hali ikiwa mbaya zaidi sidhani kama ataendelea kubaki na huo msimamo wake wa kugomea msaada toka kwa US. Leo tu visa vya vifo vilivyotokea ni 127 na kufanya idadi ifikie 1,812.
ITALY Ambao per day wanaanguka 700+ hamuwaoni [emoji23][emoji23][emoji3][emoji16] ?!

Sent using My COVID-19
 
Back
Top Bottom