Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Hili sio swali ni jibu, kamati yoyote ya kitaifa kwenye jambo lolote inahusisha Zanzibar.Ni swali fupi tu;
Je kamati ya kudhibiti virusi vya corona iliyo chini ya Waziri mkuu inahusisha pia wajumbe kutoka Zanzibar?
Maendeleo hayana vyama!
Ahsante kwa jawabu!Hili sio swali ni jibu, kamati yoyote ya kitaifa kwenye jambo lolote inahusisha Zanzibar.
P
Sampuli wanaleta Dsm!Zanzibar wana kamati yao I guess. Walishapiga stop mdege kuleta watalii na kwa yule "mtalii" atakayekaidi na kuingia Zenji, atawekwa kwenye mandatory quarantine for 14 days kwa mfuko wake. Yaani unaweza kukuta wakapelekwa hotel za bei mbaya sana
Hata mambo yasiyokuwa ya Muungano? Mbona Zanzibar wamesitisha safari zote za kimataifa lakini huku Tanganyika sisi tunasema tutapokea wageni lakini tutawachambua kwa mafungu? (Wale wanaoyokea nchi hatarishi wakae karantini na wengine wanaingia free).Hili sio swali ni jibu, kamati yoyote ya kitaifa kwenye jambo lolote inahusisha Zanzibar.
P
Kenya wamepata cases nane leo na katika hizo wageni nao ni wachache zaidi ya wenyeji. Wale tunaosema huu ugonjwa ni wa wageni tuendelee kupaza sauti.
Ila wenzetu wapo serious wanasema ole mtu akutwe sijui kanisani au wapi kwaajili tu ya kutafuta sadaka za waumini!
Wako mkoa gani hao watu? Wameambukizwa lini? Wameambukizwa nje ya nchi au ndani ya nchi?Magufuli amemaanisha watu kumi na moja wameambukizwa Corona wakiwa huko nje kwenye udangaji!!
Lakini huyo wa kumi na mbili kaambukiziwa hapa hapa nyumbani!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ina maana wageni kutoka nchi ambazo hazijaathirika na huo ugonjwa hawatahusika na karantini? Mzaha sio mzaha?Kwa huu uzembe tuliofanyiwa na viongozi wetu nachelea kusema kuwa huenda Tanzania ikaathirika zaidi na huu ugonjwa kuliko nchi yoyote kusini mwa hili jangwa la Sahara. Tumezembea, tumewekewa siasa za kiumalaya na kina Polepole. Siasa za kishenzi kama akili zao zilivyo za kishenzi! Tutapata somo tuliloandaa wenyewe!
Haiwezekani Rais wa nchi tena anasema eti "Kuanzia kesho" wala siyo leo watu wanaokuja kutokea nchi zilizpathirika wawekwe karantini! Alikuwa wapi kama kiongozi wa nchi?
You can say that again! Kuna watu wanaoangalia nani kasema kitu na kujitokeza kupinga kwa sababu tu ni yeye aliyesema na siyo kwa sababu hawakubaliani na kilichosemwa. Hii ndiyo hoja niliyokuwa naisema mara nyingi. Kuna mambo ambayo wapinzani wake wengine walikuwa wakisema ayafanye. Mara baada ya yeye kuyafanya hayo wanageuka na kuanza kumlaumu. Tuache mambo ya kivyama. Tuone kwamba tuna tatizo la kitaifa na tutoe ushirikiano wa kulitatua.Wakuuu Leo rais amehutubia, taifa ambapo ameeleza mipango ya serikali katika kupambana na corona, na changamoto zinazoikumba nchi katika kipindi kigumu hiki na ametoa maelekezo kadhaa, kiujumla mheshimiwa rais ameeleza vizuri Sana na Mimi nimemuuunga mkono kwa hotuba yake Nzuri Sana
Ila Nimeshangaa watu wanamponda na kumshambulia na kukosoa hotuba yake wengi wakisema afunge mipaka na wengi wanapinga kauli yake kuwa watu wachape kazi, wakuuu Mimi nampingaga Rais kwa mambo mengi Lakini Kwa hotuba yake ya Leo nampongeza na kumuunga mkono kwa asilimia Mia.
Nawashauli wakuuu kuwa tusisite kumkosoa rais katika mambo ambayo hayaendi sawa pasipo kuogopa mtu yoyote tupase Sauti, Lakini tusipinge hata yaliyomazuri anayofanya rais tumuunge mkono kwa mazuri na tujizuie kumkosoa kwa kila japo
Wakuuu ujue heli nusu Shari kuliko Shari kamili, heli tupate tatizo moja tutapambana nalo kuliko kupambana na matatizo mawili kwa Wakati mmoja, hatuwezi kupoteza watu Kwa ugonjwa na tukapoteze wengne kwa njaaa, jamani hivi tukifunga mipaka watanzania wanategemea Kutoka ndio wale weng hupata vitu toka nchi za jirani kila Siku ndio wale, je wewe hao watu utaweza kuwalisha? Hivi watu wasiende kazini kuchapa Kazi utaweza kuwalisha? Dar watu wengi zaid ya nusu ni vibarua wanaotegemea kutoka wakafanye Kazi ili walipwe kwa Siku warudi nyumbani watoto wale, mama ntilie hivyo hivyo, wakuuu acha Kabisa kuhangaika ili watu wasiende kazini, mipanga ifungwe watu watakufa na njaaa kwa wingi kuliko kufa na corona tumuuunge Mkono rais tuache hao wanao pinga kila kitu na kulazimisha eti mipaka ifungwe hao hawajui Tanzania ilivyo
Rais katoa hotuba Nzuri Sana tumuunge mkono
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora asiongee atatukwaza zaidi wengine. Ajikubali tu kuwa hanaga kauli nzuri kwa wananchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Unanipotezea muda we kilaza...
naongelea khs Tz wewe unaleta ufafanuzi wa habari ya China.
Wakazi ganiNi swali fupi tu;
Je kamati ya kudhibiti virusi vya Corona iliyo chini ya Waziri Mkuu inahusisha pia wajumbe kutoka Zanzibar?
Maendeleo hayana vyama!
Kwani umefanyaje mkuu mpaka uchutame?Duh...!.
Nimekubali na nachutama.
P