Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Wewe jilinde kama wewe na familia ukitegemea Magu umechemsha yeye siku zote iko 'offside' with the outside world yani kituko cha dunia.....
Wataliano waliweka rehani afya za raia wao kwa kutanguliza uchumi badala ya afya sasa wanavuna walichopanda ni kuzikana tu hata Waziri Mkuu wao kabwaga manyanga...
Sisi tunafuata nyayo lakini tunamwomba Mwenyezi Mungu atufumbie macho tusiwe kama Wataliano yaani Mungu yupi huyo mwenye ubaguzi?
Kila mtu atavuna alichopanda: Tumethamini uchumi na kudharau afya zetu sasa tutegemee kupoteza uchumi na afya kwa mkupuo mmoja
Mwenyezi Mungu aliuliza maswali mawili muhimu sana:-
1) Hivi uhai wako siyo muhimu kweli zaidi ya mkate?
2) Hivi mwili wako siyo muhimu kweli zaidi ya mavazi?
Ndani ya wiki nne kuanzia leo tutapata majibu ya uhakika kama sala zetu za kubaguliwa zimejibiwa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Subirini ufike Tandale kwa Mtogole ndio mtajua huu ugonjwa ni hatariTuache kujiombea majanga kufanya hivyo ni ujinga... ya Italia imekuwa sio bahati kwao siokwamba wao ndiyo walizembea kuliko nchi zote hko ulaya!!
Serikali inafanya kazi yake nasisi tuendelee kujilinda na kuomba neema ya Mungu huku tukiishauri serikali bila nongwa
=> Wasafiri wote wanaoingia nchini, Watalazimika kuwekwa Sehemu ya kujitenga [Karantini] kwa gharama zao wenyewe kwa siku 14 hata kama ni mwenyeji.
Hivi kwa nini tuna watu wajinga namna hii. Ndio maana ccm inawabeba ktk malori aisee kwenda kuwapigia kura. Ila kwa akili hizi ninyi lazima mtakufa sanaa ujinga wenu ndio kifo chenu.Kila mtu anathawabu yake na adhabu yake, huwezi ukajua ni kwanini raia wa Italia wanakufa kama kuku,kuliko wachina ambao ndio chanzo cha korona, huwezi kujua makusudi ya Mungu kwa Italia,Mungu mwenyewe ndiye anayejua kwanini karuhusu kipigo cha namna hii kiwapate raia wa Italia, cha msingi ni kufuata masharti na kuendelea kumuomba Mungu atuepushe na baraa hili.
Tuache kujiombea majanga kufanya hivyo ni ujinga... ya Italia imekuwa sio bahati kwao siokwamba wao ndiyo walizembea kuliko nchi zote hko ulaya!!
Serikali inafanya kazi yake nasisi tuendelee kujilinda na kuomba neema ya Mungu huku tukiishauri serikali bila nongwa
Hakuna anayejiombea majanga. Ila huo ndio uhalisia.Tuache kujiombea majanga kufanya hivyo ni ujinga... ya Italia imekuwa sio bahati kwao siokwamba wao ndiyo walizembea kuliko nchi zote hko ulaya!!
Serikali inafanya kazi yake nasisi tuendelee kujilinda na kuomba neema ya Mungu huku tukiishauri serikali bila nongwa
Wacha weeee basi sawaCorona haiui mtu mweusi, ya Italy hayatakaa yatokee bongo
Naona leo bila kupindisha wala kusita umeamua kumpinga mkuu wako, boss wako.Mkuu Unadhani wataliano waliyaomba,na kama waliyaomba,walimwomba nani na wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona leo bila kupindisha wala kusita umeamua kumpinga mkuu wako, boss wako.