Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
learn to appreciate someone IQ and talent, thats allHakuna mahali nimelinganisha kati ya yeye na mimi, nilichozungumza ni ile hali ya ninyi kumwona kama yeye ni authority.
Kwamba anachokisema mnaona kama hakitakiwi kukosewa.
Sijawahi kumpenda wala kumchukia, namchukulia kama member wengine tu humu, na ninachokisoma kwake lazima nikithibitishe mahali kama inawezekana.
IQ yake ndogo mkuu. Mwerevu yoyote anaweza kubashiri neno lake litakalofuataKama ulijua !
Kwa ufupi huyu mtu ni janga la TaifaAtaongea yale aliyoyasema kanisani kuwa Corona ni nyepesi kuliko ajali
IQ yake ndogo mkuu. Mwerevu yoyote anaweza kubashiri neno lake litakalofuata
"Salary Slip, wewe JPM kila anachosema wewe unatafuta makosa tu- kweli huwa hana zuri hata moja. Any way ni rahisi kuwa mkosowaji kuliko kuwa mtendaji
Hahaha sisi wengine hizo kauli ndo tunazipenda.Bora asiongee atatukwaza zaidi wengine. Ajikubali tu kuwa hanaga kauli nzuri kwa wananchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado unaogopa?Akijibu unitag mkuu
Yes wewe je?Bado unaogopa?
Hizo precautions alizosema hujazisikia?Kwa ufupi huyu mtu ni janga la Taifa
He is not serious
Anadiriki kusema hajafa mtu bado mpaka afe mtu ndio atachukua precautions
Nchi ziko kwenye lockdown uchumi umeyumba big time yeye anazungumza matani
Tanzania Tufanye yafuatayo:
Funga mipaka
Wachina au Wageni wote wawekwe kwa quarantine ( muda wa kutambua pia uhalali wa kuwepo nchini)
Office na biashara zifungwe (restraunts mama ntilie masoko)
Watu wasisafiri ovyo
Watu wakae majumbani (14days)
Daladala zipunguze abiria
Jeshi la wananchi sio polisi lisimamie zoezi