toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
Wewe Ni mwongo huko makini kusikiliza kabisa unaonyesha jinsi gani uko mtupu kichwani
Sent using Jamii Forums mobile app
Matarajio ya wengi ni kuwa rais wa kanisani anagepata utulivu sana kwa kuwa yupo ibadaniRais wa kanisani alijawa na Roho Mtakatifu wakati Rais wa Ikulu aliandikiwa hotuba lakini hata hivyo alishindwa kuisoma kiufasaha.
Nipo normal tu japo kujikinga muhimuYes wewe je?
Sawa mkuu tuendelee kuomba duaNipo normal tu japo kujikinga muhimu
Sure... Ila nasikia kuna aliyeponaSawa mkuu tuendelee kuomba dua
Mkuu nimeondoa lawama yangu..peace🙏Mhh wakuu, hii imezidi sasa, ni kqwli anafanya makosa mengi lakini naona kajitahidi leo, kaongea kwa utulivu na bila mizaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Isabela nimesikiaSure... Ila nasikia kuna aliyepona
Nawewe ni walewale Hujui Lugha. KUONYESHA maana yake nini?Hapo mmekutana VILAZA watupu.
Senti bai yuzingi tecno T301
Vizuri... The rest will get better right away.Isabela nimesikia
Magufuli amemaanisha watu kumi na moja wameambukizwa Corona wakiwa huko nje kwenye udangaji!!Vipi Mwana FA Ni raia wa nchi gani?
Maana baada ya kujitangaza Waziri alimpa pole na kumtia moyo
Sent using Jamii Forums mobile app
learn to appreciate someone IQ and talent, thats all
Chapeni kazi ya kuuza sanitizer na mask
Ateuliwe mtu mmoja maalum wa kutoa taarifa mpya za COVID-19 vinginevyo taarifa zitakua na ukakasi endapo watatoa watu tofauti tofauti.