Tumelipigia kelele sana hawatakuwa na cha kujiteteakwa masikitiko makubwa tumepokea taarifa hizo za kuhuzunisha kuhusu kuwepo kwa mgonjwa wa Corona nchini kwetu .
swali la kujiuliza kwanini serikali haikuchukua hatua za haraka kudhibiti ugonjwa huu ikiwa no pamoja na kufunga mipaka kuzuia ndege na magari yote toka nje ya nchi ?serikali inawezaje kukwepa lawama hizi
Unajuwa kuwa na ww unatakiwa uwe mmoja wapo ili utuache sisi wengine tukimalizia kuweka sawa mambo yetu...!Binadamu wabinafsi sana Dunia Ina watu zaidi billion 5, Corona inataka kuchukua watu milion 50 tu ili ibalance ecosystem na kufanya depopulation, binadamu wa Duniani hawataki.
Karibu Tanzania Corona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nami nasadiki hilo, serikali ya awamu ya tano huwa ni ngumu sana kuukubali ukweli, yawezekana wahusika walitishiwa kutokusema haraka haraka, na umaskini wetu huu imefika wakati wa kuwapigia magoti mabeberu tuliokuwa tunawananga.Corona ilishaingia Tanzania ilikuwa swala la muda tu kutangaza sisi sio Kisiwa.
Hizi nchi za kijamaa zina Siri sana, Mungu atunusuru isisambae zaidi.
Iyo Imani hatutakiwi kuwa nayo moyoni,Tukiwa na Imani iyo itatumaliza sanaSo long as hakuna mtu mwenye ngozi nyeusi aliyefariki kutokana na ugonjwa huu...Bado nina amani ya kutosha tu.
Sijui tatizo ni umasikini wetu japo tunajiita donor country
Hili suala watu wamepiga kelele sana,unaanzaje kuhamasisha watu wasishikane mikono wakati huo umeacha mipaka wazi,unazuia nini? vinginevyo walikuwa wanafichaWengine walikuwa wanapiga marufuku watu kuingia nchi zao.
Sisi tunaleta ujuaji.
Imekula kwenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππππBora labda CCM itaacha kutuonea