Tumelipigia kelele sana hawatakuwa na cha kujiteteakwa masikitiko makubwa tumepokea taarifa hizo za kuhuzunisha kuhusu kuwepo kwa mgonjwa wa Corona nchini kwetu .
swali la kujiuliza kwanini serikali haikuchukua hatua za haraka kudhibiti ugonjwa huu ikiwa no pamoja na kufunga mipaka kuzuia ndege na magari yote toka nje ya nchi ?serikali inawezaje kukwepa lawama hizi
Sent using Jamii Forums mobile app