Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Amina na corona ije tu watu tushajichokea ....

am better here
 
Nitashangaa sana kama wasiasa wataigeuza hii issue ya Corona kama agenda ya kujipatia umaarufu wa kisiasa.
 
Mkumbuke tu,kule China,walianza Hadi kusanitize pesa .kwa ufupi noti ni moja ya carrier ya hizi corona virus,
Nchi zingine wanashauri electronic payment kuliko kupokea ama kulipa kwa cash
 
Fursa hiyo kwa wataalam wa mitishamba..
Tuanze sasa kuuza tangawizi,vitunguu swaumu na karafuu..
 
Mzee usiwe mjinga, hata waliofunga mipaka kabla bado wamepata corona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…