Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huruma ganiAliekutwa na Corona [emoji58]
Amina na corona ije tu watu tushajichokea ....Suala hili la COVID-19, halina mtu wa kulaumiwa.
Hasira na woga, hazitafanya lolote lile kwenye hili tuepuke.
Huu virusi hivi vinaambukiza bila hata dalili yoyote kwa muathirika. As a matter of fact, kama una afya njema unaweza ukaambukiza wengine bila kujua mwenyewe kama ulikuwa nao.
Airport za mataifa yote duniani zinapima dalili tu kwanza, ndio maana wanashauri watu wanaojihisi kuumwa baadae, waji-isolate. Upimaji wa virusi wenyewe hufanyika katika maabara chache zilizotayarishwa. Hivyo wanadhaniwa peke yake ndio hupimwa. And this is world wide; due to unlimited resources. Kuna nchi kama S.Korea wamejitahidi kidogo kwenye upimaji, containment haijawezekana.
Kwa lugha nyepesi, haiwezekani kuzuia ugonjwa huu kuingia katika nchi yoyote ile unless mmejifungia na mmesimamisha shughuli zoote; which is realistically impractical.
Yaani, kinachofanyika na nchi zote duniani ni kufupisha uharaka wa maambukizi; ili huduma za kiafya zisizidiwe.
Maana hata nchi zenye huduma za kiwango cha juu, hazina uwezo wa kuhudumia mlipuko wa uambukizaji wa haraka namna hii.
Ndio maana hakuna nchi tajiri iliyoweza kuukwepa ugonjwa huu.
Acha niuseme ukweli:
People will die.
Most will survive.
Hatukuwa tayari (kidunia) ku-face epidemic(now pandemic) ya namna hii.
Pray, kwa sababu there will be tears.
Sent using LF Electromagnetic Waves
😂😂😂 Nyie raia nyie 😂😂😂😂Corona pitia Pale Lumumba pita na Kabudi au Polepole kabla hujaja kunichukua Mimi.
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂 Nyie raia nyie 😂😂😂😂Corona pitia Pale Lumumba pita na Kabudi au Polepole kabla hujaja kunichukua Mimi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili ndogo,Always complaining.Wengine walikuwa wanapiga marufuku watu kuingia nchi zao.
Sisi tunaleta ujuaji.
Imekula kwenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂 Nyie raia nyie 😂😂😂😂Corona pitia Pale Lumumba pita na Kabudi au Polepole kabla hujaja kunichukua Mimi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee usiwe mjinga, hata waliofunga mipaka kabla bado wamepata coronaHatari.
Wakati wengine wanazuia watu kuingia nchini kwao nchi kubwa kama Marekani sisi tukajidai eti tuna vipimo uwanja wa ndege, marekeni wao hawana vipimo uwanja wa ndege? Marekani alizuia watu kutoka ulaya kuingia kwake sisi tukajifanya tuko vizuri kuliko Marekani.
Ccm hawana malengo mazuri na afya za watanzania. Sasa subiri tuipate fresh.
Wenzetu kila anaeingia toka nje ya nchi huwekwa karantini siku 14 hadi hali iwe sawa, sisi watu wanaibuka wakipimwa airport hakuna dalili wanaondoka kwenda makwao. Ni cases ngapi zimetokea kama za jana? Maana bado watu wako kwenye window period. Ulaya ni risk area watu wanatoka huko tunawaacha tu bila kuwaweka kwenye karantini.
Tulichokua tunakitafta tumekipata
Wewe ndiye utakayekufa kama nzigeHatari sana lakini hapo kwenye bango hilo mgonjwa hakupatikana na corona "NEGATIVE COVID 19"lakin sisi watanzania kwa hali ya sasa tutakufa kama nzige kwa maana nafasi tulikuwa nayo ya kuzuia na tumeichezea.
MUNGU TUOKOE NA JANGA HILI.
Sent using Jamii Forums mobile app
huyo mtanzania ni black Tanzanian au Mweupe. sababu nina imani kubwa sana ni ueusi wetu. a bizarre idea, but that is it.
Mkuu sio mpaka watangaze!Hilo ndilo niliwazalo pia....Wafunge shule mapema wasisubiri ratiba ya shule.