Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Ni kwa nini vyuo/shule zisifungwe...
Viwanja na safari za ndege zisisitishwe...
Michezo na shughuli zote za mikusanyiko zisisitishwe...
Kwanza muda wa at least two weeks ndo hizo hatua nyingine alizotangaza waziri zifuate??
Tukiendelea kulala tutajikuta hivi virusi vimetoka kwa wagonjwa wanaosafiri kwa ndege vimefika mitaani kule madongo kuinama...!!
 
Hili sio chezo hili? Kumbe kuna pesa itatolewa kwa mataifa yenye Corona? Huenda Corona haijaingia ila hiyo pesa imeshawatoa udenda. Awamu hii inavyopenda pesa, naangalia jinsi watu wanavyokamuliwa pesa mahakamani, wengine wanaambiwa watubu watoe pesa ili waachiwe, sitashangaa kuona pesa iliyotangazwa imeshawatoa udenda watawala, wameona nao watangaze
 
Hebu tusihamishe magoli hapa, kuna watu wanapaswa wawajibike, huyo mgonjwa aliingia na hakuwekwa karantini, kama angekaa karantini tusingekuwa tunamzungumzia leo. Watu wanafanya kazi kwa mazoea, uongozi wa airport uwajibike, waziri wa afya awajibike.
Wewe nae unaongea kma huna ubongo ukiwawajibisha ndo ugonjwa unaisha ama ni bange tu umekurupuka
 
Wanazuia mikusanyko, wakat huo huo kila jiwe anapopita anakusanya kijiji

Lakini punde, akakwingilia Jack Chan shashaaa
 
Wewe unafikiri kwa kutumia matako
 
Nchi ipi hiyo iliyojikinga?

Watu wanapukutika kila siku; na kila siku zinaongezeka new cases kwenye hizo nchi zinazojiita first world.

Mfano mzuri, USA ni moja ya nchi iliyo-handle kipumbavu kushinda hata nchi nyingine ndogo. Wamezembea kwa sababu walisema wanaiamini zaidi CDC(yao) katika kujikinga kuliko ushauri wa WHO katika containment. Mwisho mambo yamekuwa mambo, baadhi ya majimbo wameshaanza ku-invoke quarantine, hali ni mbaya.
UK wamekubaliana na hali, hawajisumbui. Italy wauguzi wanabidi kuchagua nani aishi nani afe, kwa sababu huduma na vifaa havitoshi.
Na kumbuka hizi nchi ni zinazoongoza kwa huduma bora na teknolojia za kisasa.

Note: mifano hii unaweza ukafuatilia ukaona mwenyewe; sijaitoa kichwani kwa kuitunga.

Nachokubaliana na wengi hapa ni kwamba, KWELI inawezekana wengine walishapita nao mpakani hata 5 days back. Kama nilivyosema, kuambukiza hakuhitaji uumwe.

Sent using LF Electromagnetic Waves
 
saafi saana

unaachia airport wazi si ujuha huo ndio mcheze segere mataaifa makubwa kama usa,China hali imekuwa tete kwao je sisi third world country tunajiamini kuacha borders wazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Russia ilitunga sheria,mtu Kama huyo jela miaka 5.
Russia na North Korea wako vizuri kwakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…