Kwanza ni mtanzaniahayo mambo kwamba mwanzo alikutwa mzima au alijitenga siyaamini , watakuwa wanataka kuondoa hofu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinyeo chako
Wamechukua hatua ambazo nchi nyingine zote wamechukua. Kwa sababu ndio zinazowezekana.Tanzania ni hatua gani wamechukua ya hata tahadhari kuhusu ugonjwa huo.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji51][emoji51][emoji51]Iwapo Corona ikifika Dar-es-salaam tutakufa sana, kutokana nahuu usafiri wetu wa mwendokasi maana tunajazana sana mpaka kupita kiasi.
Eeeh......mungu tunusuru
Ndio shida ya kumtegemea kigogo wa twiter kama source ya habari!Nchi hii ni takataka hasa kipindi hiki cha huu utawala wa Magufuli, walimficha daktari mgonjwa aliyekufa kwa Ebola, huu inaonekana wameugua zaidi ya mmoja wakaona ni bora watangaze maana kila kitu kilikuwa wazi, hata hivyo. Zilianza rumors lakini serikali hii ya wajinga wanatumia nguvu nyingi kupindisha ukweli.
Umeangalia video mpaka mwisho ukasikiliza maelezo ya huyo waziri
Ina maana sasa hivi hayupo? Anatucheck tukiangamia [emoji57][emoji57][emoji57]Bwana bwana Mungu atusaidie.. Bila yeye hiki kiama hatukikwepi
Dogo huna hata mwezi jf ushaanza kubetua mdomo au unataka kushughulikiwa na wakubwa zako... Kula kona else I'll kic'ur azz
Sisemi hawafi walio chini ya 60.Uingereza wazee above 60 wameambiwa wajiweke gueranteen,hamna kutoka home,lakini hapohapo nchi zingine wanakufa hata walio below 60
Hoja ya kitaahira kabisa. Basi marekani au China waliozuia watu wasiingie nchini kwao au Wuhan walikosea? Marekani hakupaswa kuzuia watu wasiingie maana tayari ugonjwa ulikua ushaingia, sio? Shule ndogo bado ni tatizo kubwa hapa nchini.Hakuna nchi iliyofanikiwa kuzuia corona isiingie kwa kufunga mipaka
Ugonjwa huu umeibuka mwisho wa desemba 2019 huko, mpaka leo nchi 166 kati ya nchi zote 193 duniani zina wagonjwa wa corona
Aliyeshika hii docket ya wizara haiwezi. Je hawakusema kuwa wamejiandaa vya kutosha.....SASA IWEJE SAMPLE IPELEKWE HADI DAR ES SALAAM?