Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Yalivyo mazembe, siajabu mpaka sasa hayajafanya contact tracing.
Inaonekana huyu ndio yule mgonjwa wa kwenye ili video ya Moshi, imagine watu wote aliokuwa nao kwenye ndege, airport, hospitali na sijui wapi yaani, si walisema wamewaachia waendelee na shughuli zao! Kumbe yasemekana samples zilipopelekwa Dar, vipimo vikawaka kama vyote.
Siajabu kuna case zaidi ya moja.
 
Da I'm speechless why wasipige marufuku ndege kuingia?pesa Ni muhimu kuliko Watanzania?
 
Tanzania ni hatua gani wamechukua ya hata tahadhari kuhusu ugonjwa huo.


Sent using Jamii Forums mobile app
Wamechukua hatua ambazo nchi nyingine zote wamechukua. Kwa sababu ndio zinazowezekana.
-kupima homa airport.
-kutoa elimu.
-kutayarisha mahali maalum kwa ajili ya uangalizi wa wataokuwa wamebainika wanao.

Basi!

Note: Ofcourse, ningekuwa mimi, ningefunga mipaka mazima.
Lakini kuna ugumu wake ndio maana wanasiasa/viongozi wa nchi zote wanakuwa wanakigugumizi wakihojiwa kwa nini hawafungi.


Sent using LF Electromagnetic Waves
 
Iwapo Corona ikifika Dar-es-salaam tutakufa sana, kutokana nahuu usafiri wetu wa mwendokasi maana tunajazana sana mpaka kupita kiasi.
Eeeh......mungu tunusuru
[emoji51][emoji51][emoji51]
tapatalk_jpeg_1584365528414.jpeg
 
Nchi hii ni takataka hasa kipindi hiki cha huu utawala wa Magufuli, walimficha daktari mgonjwa aliyekufa kwa Ebola, huu inaonekana wameugua zaidi ya mmoja wakaona ni bora watangaze maana kila kitu kilikuwa wazi, hata hivyo. Zilianza rumors lakini serikali hii ya wajinga wanatumia nguvu nyingi kupindisha ukweli.
Ndio shida ya kumtegemea kigogo wa twiter kama source ya habari!
Hivi mgonjwa gani wa ebola alikufa hap Tz.? Unafikiri ebola ni kama kuvimbiwa makande? Kwamba unaweza kuficha kirahisi tu watu wasijue?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Corona instills panic and fear to the society, nothing more!! Tuwe makini na kuacha hizi panics zinazoendelea.
 
Hakuna nchi iliyofanikiwa kuzuia corona isiingie kwa kufunga mipaka
Ugonjwa huu umeibuka mwisho wa desemba 2019 huko, mpaka leo nchi 166 kati ya nchi zote 193 duniani zina wagonjwa wa corona
Hoja ya kitaahira kabisa. Basi marekani au China waliozuia watu wasiingie nchini kwao au Wuhan walikosea? Marekani hakupaswa kuzuia watu wasiingie maana tayari ugonjwa ulikua ushaingia, sio? Shule ndogo bado ni tatizo kubwa hapa nchini.
 
Tabu ipo, sijui nani atakayetupa misaada kupambana na COVID maana mabeberu yote pia yametumia mpk akiba zao za kwenye vibobo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Why should i believe you???

Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyeshika hii docket ya wizara haiwezi. Je hawakusema kuwa wamejiandaa vya kutosha.....SASA IWEJE SAMPLE IPELEKWE HADI DAR ES SALAAM?

Au huko ndiko kujiandaa....nchi nzima center moja ya kupima sample halafu mnasema mmejiandaa?

Na huyo mgonjwa ametibiwa kwa dawa gani? Ebu unganisha hizo dots...."Mgonjwa huyu mtanzania alipimwa KIA hakuwa na tatizo lakini akaenda hotelini kuji- self isolate" Kuna vitu hapo haviungi
 
MTU akapimwa akakutwa hana ugonjwa alafu yeye hakuridhika akajiweka karantini
Hili limedhihirisha mfumo wetu wa vipimo ni ovyo kabisa
 
Huyu dada naona kama kwa kiasi kikubwa ni muungwana! Maana uwanja wa ndege alisharuhusiwa. Akaamua kuji-Karantini mwenyewe!

Inaonesha dhahiri kabisa mtu wake wa karibu wa Denmark au Belgium alikuwa amepatwa na Corona!

Hatuwezi kumlaumu kwa kusema kuwa anazurura, maana Taifa lilikuwa bize na Segerea na Kisutu!

Wakati nchi nyingine wakichukua tahadhari kwa kuweka makatazo na mazuio ya ndege kuingia na kutoka ili kulinda raia wake sisi ndo kwanza tulikuwa tukitetea ndege kuja kwa kisingizio cha kuenzi urafiki wetu wa muda mrefu! Only a soft state can come up with these blah blah!

Watu waangamie kwa expense ya urafiki? Watu wafe kwa expense ya Utalii?

Ajabu nyingine, inaonesha kwenye viwanja vya ndege hawawezj kubaini Corona mpaka sampuli ipelekwe Maabara ya Afya ya Jamii huko Dar es Salaam!

Wallah! Kura yangu Mustakabali wangu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom