Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Tuwafungie hata watanzania walionje ya nchi? Nimeenda Malawi muda wa kukaa umeisha hivyo nibaki Malawi?
Sikutegemea hata wewe ukose akili kiasi hiki, hivi wanavyofanya wenzetu Ni kwamba hawawapendi wananchi wao walioko nje?

Uganda tu hapo ametoa tamko hapo juzi ukiwa unatoka nje ya nchi yao ukirudi unakaa karantini uwe navyo usiwe navyo..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona unakuwa muoga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ila akina mama ni wabishi kinoma, yaani waliamniwa msiende kuzurura zurura lakini wapi ona sasa 'danga' la ubeligiji na Denmark litakavyo tupukutisha…….
Yupo mmoja ninaemjua ameshauriwa na kila aliyeweza kuzungumzia naye lakini juzi huyo kakimbilia kupanda pipa na mipicha juu kutuumiza roho tuliokuwa tunamshauri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakimu Mfawidhi,
Imeisha hiii,tutalufa kama kuku wa kideri au mdondo. Watu wako busy na chadema huku kuna janga linakuja still chadema,hana habari ya kufunga mipaka kaenda kukagua madaraja atapita nani!? na tukifa na hiyo corona atamuomgoza nani?? Tuna watu mabogus kweli wanaotuongoza,wanatumia mihemko badala ya akili
 
Ilo genge la wapinzani ukiwatazama vizuri ni wachumia tumbo walio pindukia yani hutumia elimu zao kuwachota mabodaboda ambao hawaelewi hata wana pinga nini

Sent using Jamii Forums mobile app
Bodaboda unaowadharau ni matokeo ya mfumo mbovu wa ccm, Bora hao wachumia tumbo kuliko wale mafisadi walisain mikataba mibovu na bado wapo uraini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…