Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Mnamkumbuka Mungu kipindi cha shida [emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata yeye (Mungu) atakushangaa kweli kweli kama hutamkumbuka wakati wa shida.

Maana ndiyo hiyo, yaani hata ulikuwa humkumbuki wakati wa raha, inakupasa umkumbuke wakati wa shida.

Yeye sio (mtu) wa visasi na kiburi..., atakusikiliza na kukusamehe wakati wowote, iwe wa shida au wa raha.
 
Hili gonjwa kwa mtanzania atakayelipata aingie moja kwa moja kwenye case za uhujumu uchumi akipona kwa kuwa amelipata nje na hatujafaidika na nje yake kama taifa.
 
Mkuu wa mkoa Arusha funga mashule na vyuo vyote arusha tusisubiri mpaka vituchachalie watoto wetu waathirike bure!!!
 
Sisi tunaweza siasa za maji taka tu mzee ! Mambo ya muhimu kama haya hatuyapi kipaumbele hadi mama wa watu aliona yeye mwenyewe aji isolate

Juzi trump alipiga safari zote za ulaya kuingia kwake , piga ban, watu wakamuona chizi lakini alikua anajua anachofanya, uhuru kenyatta naye wakamuona chizi, AbaMukulu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msiwe na wasiwasi tupo njiani kuelekea nyumbani kwa yule mchungaji aliejitangazaga kutibu korona
Sisi tunaweza siasa za maji taka tu mzee ! Mambo ya muhimu kama haya hatuyapi kipaumbele hadi mama wa watu aliona yeye mwenyewe aji isolate

Juzi trump alipiga safari zote za ulaya kuingia kwake , piga ban, watu wakamuona chizi lakini alikua anajua anachofanya, uhuru kenyatta naye wakamuona chizi,

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
#UNAAMBIWA Waziri wa Afya Ummy Mwalimu @ummymwalimu amesema ameongea na mgonjwa aliebanika kuwa na corona Tanzania kwa njia ya simu na katika maelezo yake amesema alipokuwa Ubelgiji nyumba ambayo alifikia, Mume wa mwenye nyumba hiyo aliugua corona, itakumbukwa mgonjwa huyo alipofika Airport KIA hakubainika kuwa na homa ila alijishuku na akaenda kujifungia Hotelini asichanganyike na Watu, kisha baadae akaenda Mount Meru Hospt na sampuli ikachukuliwa hadi Maabara DSM na kuthibitika kuwa ana virusi vya corona.
 
Sisi tunaweza siasa za maji taka tu mzee ! Mambo ya muhimu kama haya hatuyapi kipaumbele hadi mama wa watu aliona yeye mwenyewe aji isolate

Juzi trump alipiga safari zote za ulaya kuingia kwake , piga ban, watu wakamuona chizi lakini alikua anajua anachofanya, uhuru kenyatta naye wakamuona chizi,

Sent using Jamii Forums mobile app
Una uhakika ? Alipiga ulaya akaruhusu UK wakati UK pia upo wa kumwaga.., mambo ya hekima busara na akili usimtolee mfano Trump, jamaa ni bogus...
 
Ama kweli huyu muathirika ni mzalendo na anahitaji kupewa nishani. Huko ubelgiji alikotokea kulikuwapo na mgonjwa katika nyumba ambayo akikaa, na badala ya kubaki huko huko ubelgiji kwa wakati huu mgumu, ameamua kuja nyumbani Tanzania na kuanza kuusambaza ugonjwa. Kwa nini hakubaki huko huko na kujitenga kwa karatini ya wiki mbili badala ya kuja Tanzania?

Kuna Mnigeria aliathirika na maradhi haya nchini china na amekataa kurudi nyumbani Africa baada ya kuoewa all clear akisisitiza kuwa hataki kuwa yeye ndio alouleta ugonjwa africa na akaendelea kwa kusema kuwa africa itapata tabu sana kuushinda ugonjwa huu. Leo mtanzania badala ya kujiwekea karantini nje ya nchi kaamua kuja nyumbani na kujiweka katika karantini tena katika hoteli!

Kwa hili naomba huyu mama apewe tunzo ya ujasiri.
 
Ndio upumbavu wa wanawake. Mwanamke hata awe na elimu,lakini anakuwa kama mtoto tu. Mpaka wasaidiwe kujiongoza. 1. Yeye kasikia huko ulaya kumewaka moto,mpaka nchi kama USA imezuia hizo nchi za ulaya zisiende USA. Lakini bado akapanda ndege kuufuata ugonjwa tena kwenda nchi zile zile zilizozuiliwa. Kama haitoshi akaanza kulanda landa huku na kule,mbwiga kabisa. 2. Amejua kabisa anaweza akawa amenasa kwa nini asibaki huko huko,akaona tena apande ndege atuletee na huku. Haya sasa familia yake imepona hapo?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata yeye (Mungu) atakushangaa kweli kweli kama hutamkumbuka wakati wa shida.

Maana ndiyo hiyo, yaani hata ulikuwa humkumbuki wakati wa raha, inakupasa umkumbuke wakati wa shida.

Yeye sio (mtu) wa visasi na kiburi..., atakusikiliza na kukusamehe wakati wowote, iwe wa shida au wa raha.
Kwanini tumkumbuke? Kwani haoni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa kabisa...nimeshangaa sana!

Sana sana..ni upendo wa aina gani huo..

Hakufanyiwa isolation na serikali ila yeye aliona kuna ulazima huo wa kufanya. Hongera mama popote ulipo tunakuombea upone haraka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tusiwe naive jamani, tusiyaamini maneno ya huyo waziri, kuna kitu hakiko sawa kwenye maneno yake. Hana proof yoyote ya hiyo self isolation, halafu mtanzania aliyekuwa hana dalili alipokuwa anashuka kutoka kwenye ndege eti aende kujifungia hotelini.

Halafu by the way unaji-isolate vipi hotelini? Kumbuka kuna sehemu ya chakula hapo hoteli, kuna wageni wengine, wafanyakazi wa usafi wanaosafisha vyumba vyote kila siku, sasa yeye hapo hotelini alikuwa amekaa hewani na kula hewa.

Huyo waziri ni muongo na hiyo ni prepared statement kuwapa watu matumaini.

Jambo ya muhimu kwa sasa ni contact tracing. Watu waliokutana na kumuhudumia huyo mama watafutwe.
Hatua nyingine kama masuala ya safari za anga na quarantine camps zichukuliwe sasa kwa haraka.
 
Back
Top Bottom