Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,772
- 8,939
Chadema wanashangilia sana hii habari!
VIZEE VIKUDA VITAPUKUTIKA KAMA NZIGE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema wanashangilia sana hii habari!
Huyo mama anatupenda sana watanzania kwa kujifanyia safe isolation kiukweli anastahili kupewa tuzo kubwa sana kwa kuokoa mamia kama sio maelfu ya watu
Hii nchi takataka.
Kwa hiyo TZ nzima vipimo vya korona vipo dar tu?
Hatupo serious kama taifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
China na Iran wanapika data. Huu ugonjwa unaua kuliko tunavoaminishwa....Yote na yote hii batani imeguswa tu lazima kuna target.hakuna dawa why china italy ndo wahanga?
Urusi urusiiiiiView attachment 1390061View attachment 1390062View attachment 1390063
Sent using Jamii Forums mobile app
Israel wanakwenda kwenye lockdown,hakuna public transport,Wala mashule kazi zinaruhusiwa za dharura tuMsiba wa dunia huu, lazima tulie wote
Tuwafungie hata watanzania walionje ya nchi? Nimeenda Malawi muda wa kukaa umeisha hivyo nibaki Malawi?
Kwahiyo Mungu kawasahau kondoo wake wateketeeMimi nashauri kama safari yako sio mbali tembea kwa miguu..epuka dalaladala..na matamasha sijui ya music, sijui kanisa
Kumbuka huyo victim ameingia nchini hapa siku 5 zilizopitaSasa si tutengane mikoa hii? wa Arsuha arusha, hakuna kutoka, au mpaka wasambaze, ila ni too late, wapuzi hawa walishaambiwa wazuie ndege kuja nchini hawasikii.
Ona sasa kishanuka.
Kabisa kabisa...nimeshangaa sana!Huyo mama anatupenda sana watanzania kwa kujifanyia safe isolation kiukweli anastahili kupewa tuzo kubwa sana kwa kuokoa mamia kama sio maelfu ya watu
Alikuwa na akili Sana,Ina maana hakuenda kwake,badala yake akajufungia hotelini kusikilizia dalili,alipoona Hali Tata akajisalimisha hospitalsasa asingeamua kujifungia mwenyewe angechanganyikana na raia baada ya vipimo vyenu fake kutomtambua kua anaumwa unafikir nini kingetokea mpaka sasa ?
je hapo alipokua anaishi pako salama ?
ila akina mama ni wabishi kinoma, yaani waliamniwa msiende kuzurura zurura lakini wapi ona sasa 'danga' la ubeligiji na Denmark litakavyo tupukutisha…….
Kamanda Mbowe keshatangaza mikutano ya hadhara nchi nzima, duh.
Ndiyo hapo sasa nchi zoote za east African walisha piga marufuku tukabakia sisi kukusanya watalii
In God we Trust
Tanzania buanaYaani mgonjwa aliamuua kujitenga yeye mwenyewe,kisha akajipeleka Hospitali,je kama angeamua kwenda mtaani ingekuwaje?