Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Achaga ujinga, Mimi nimewahi treni ya Ubungo to Posta, nitauza scrapper
tutakao baki mabasi yote ya mwendokasi yatakua yangu nimewahii


Sent from my iPhone using JamiiForums

Don't make a promise you can't fulfill...
 
Naona baada ya mbowe kutangaza kufanya mikutano kibabe sasa mmekubali kutangaza uwepo wa korona ila wakati aghakan wanasema mlikuwa kimya😁😁😁😁
 

Kwenda kujiweka self isolation hotelini pia amewatia watu hatarini. Kuanzia wahudumu wa vyumbani, wafua mashuka ya vitanda, wahudumu wa cafeteria, wageni wenzake etc. Kuna tv programe ikielimisha namna ya self isolation inavyotakiwa iwe na i am telling you sio tu kujifungia ndani ya chumba.

Mind you, alipojisikia kuwa anaumwa alikwendaje hospitali? kachukua taxi/uber, dala dala au katembea? hatua zote hizo atakuwa amewatia matatizoni watu wengine, ushauri wa WHO ni kutokutoka ulipo bali ni kuita ambulance/ watu wa afya ili wao ndio wakufate ulipo.
 
Mkuu bado husband and wives/boyfriend and girlfriend/ chldrens and parents wa hao waliyokutana na huyo mgonjwa

Chain ni ndefu sana na ndio maana ya Hatari yenyewe ktk hili Janga Mkuu.
 
Ivi unaamini mtu akiongea anayoongea au uharisia,
Kujifanyia isolation its impossible ata mwenyewe nikiwa nao lazima nitasema hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app

Yote yanawezekana
Malezi tunatofautiana sana
Umewaona wachina wanavyopaka kamasi kwenye mabomba ya mabasi na kwenye buttons za elevators?
Na sisi tutakuwa hivyo hivyo


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Ndiye aliyetangazwa so far bwashee!

Kwa hiyo huo muunganiko hauuoni mpaka ithibitishwe na Serikali sio !?.

Hauoni upo uwezekano wa maambukizi zaidi hasa kutokana na Tabia ya huu Ugonjwa !?
 
Ilitakiwa Hotel yote iwe chini ya uangalizi maalumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…