Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
Tuliposema nchi ifunge mipaka tulikuwa tunaonekana wapuuzi.
Fungeni Mipaka yote.
Bado hatujachelewa.
Bora tukose hela za utalii nk lakini tuwe salama.
Nyakati ngumu hazidumu milele
Mungu tusaidie
Duh,Aliamua kujiwajibisha mwenyewe kwa kujitenga,apewe tuzo ya nobel huyo mmama aisee
Kama huu ugonjwa utaenda mpaka kufika muda wa uchaguzi. Tutaomba watu wakabidhi nchi mahala panapotakiwa... Otherwise utakuwa ni udikteta...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu atunusuru. Pia tuzingatie yale tunayoelekezwa na wataalam sekta ya afya. Tukiweza kuzingatia IPC ugonjwa huu si chochote. China wenzetu wameanza kufanya mass sterilization ili kuua vijidudu kabisaHapa ki ukweli tungetakiwa kusikia
Wameanza kufuatilia close contact wote. Pia hiyo hotel imewekwa karantini hakuna mtu anayeingia au anayetoka. Je watumishi.waliomuhudumia kabla ya kuwa suspect nao wamewekwa karatini. Je hiyo ndege ilishusha watu wangapi siku hiyo bongo? Je wamefuatiliwa. Je walioshika mizigo yake wametafutwa? Je yy amewezaje kutoka ulaya wakati alitakiwa kuwa karantini naada ya kuishi kwenye nyumba yenye mgonjwa?. Je siku 14 za karatini hazitoshi ili kujua pathogenesis yake? Maswali ni mengi sana. Kichwa kinauma hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]serikali iko busy kukusanya mavi ya wafungwa kwenye ndoo.
Kuliko wewe?