Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Na kwa nini upewe bure?huna nguvu za kufanya kazi?au wewe ni miongoni mwa wake wanyonge wapenda slope
 
Ivi jamani ukijihisi mfano una dalili za Corona na kuchukuliwa na kuwekwa karantini inamaana mahitaji yote ya malazi unapewa na serikali ama ukitengwa kivyako vyako.......Hii hali ilivyokuwa ngumu uku mtaani nyie mnaonaje
hahaahahahah!
 
Taarifa za habari zimethibitisha kuwa kuna mgonjwa mmoja wa korona mwanamke Wa miaka 46 aliyesafiri kutoka Ubeligiji kuja Tz kupitia Kia.

Mwanamke huyu alilazwa katika hospitality ya Mount Meru lakini ghafla alihamishwa na kupelekwa Mawenzi Moshi, je ni kwanini, wataalam watujuze
 
Nasikia baada ya kutangaza msaada wa kifedha wa usd1bn wameamua kitangaza nao
 
Mungu atusimamie na kutulinda dhidi ya Corona, kama anavyotulinda na mafua, malaria n.k
 
Dawa ya kwanza kuanza nayo kujikinga na hii corona ni nini,
 
Akajifungia hoteli.

Haha. This is a simple and clear lie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…