Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Hawa c ndo wale wanaojiita wapinzani hata wakiambiwa kila raia atapewa kiwanja bure bado watapinga tu kwasababu wao wanajiita wapinzani , upumbavu katika ubora wake ndo mana sikuhiz raia wenyewe upinzani hatuuelewi unapoteza radh kwa upuuz Kama huu

Sent using Jamii Forums mobile app
Na kwa nini upewe bure?huna nguvu za kufanya kazi?au wewe ni miongoni mwa wake wanyonge wapenda slope
 
Ivi jamani ukijihisi mfano una dalili za Corona na kuchukuliwa na kuwekwa karantini inamaana mahitaji yote ya malazi unapewa na serikali ama ukitengwa kivyako vyako.......Hii hali ilivyokuwa ngumu uku mtaani nyie mnaonaje
hahaahahahah!
 
Taarifa za habari zimethibitisha kuwa kuna mgonjwa mmoja wa korona mwanamke Wa miaka 46 aliyesafiri kutoka Ubeligiji kuja Tz kupitia Kia.

Mwanamke huyu alilazwa katika hospitality ya Mount Meru lakini ghafla alihamishwa na kupelekwa Mawenzi Moshi, je ni kwanini, wataalam watujuze
 
Wangapi tayari
IMG-20200316-WA0017.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu atusimamie na kutulinda dhidi ya Corona, kama anavyotulinda na mafua, malaria n.k
 
Dawa ya kwanza kuanza nayo kujikinga na hii corona ni nini,
 
#UNAAMBIWA Waziri wa Afya Ummy Mwalimu @ummymwalimu amesema ameongea na mgonjwa aliebanika kuwa na corona Tanzania kwa njia ya simu na katika maelezo yake amesema alipokuwa Ubelgiji nyumba ambayo alifikia, Mume wa mwenye nyumba hiyo aliugua corona, itakumbukwa mgonjwa huyo alipofika Airport KIA hakubainika kuwa na homa ila alijishuku na akaenda kujifungia Hotelini asichanganyike na Watu, kisha baadae akaenda Mount Meru Hospt na sampuli ikachukuliwa hadi Maabara DSM na kuthibitika kuwa ana virusi vya corona.
Akajifungia hoteli.

Haha. This is a simple and clear lie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom