Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Hayo mambo hayawezekan bongo nasema hayawezekan waweke maji yenye klorini mh labda wauze maji yenye klorini sidhan km yanaweza tolewa bure hatujastarabika hata punje ata WHO atoe pesa za misaada hilo haliwezekan
 
Hv kati ya corona na ebola ipi ni hatar zaid .
IMG_20200316_211458_970.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni uzembe ambao hatupaswi kuufumbia macho na wanaohusika wote wawajibishwe. Abiria wanafika airport mnawaachia kama mbuzi bila kuwaweka karantini kwa muda ili kutambua wenye maambukizi.

Bado serikali ya Tanzania haijachukua hatua madhubuti kuhakikisha wananchi tunajua salama. Sasa endelea kujifanya haupokei ushauri ndio utaona matokeo yake.
 
Huyo mama bado yupo hotelini themi suit kwa wanaoifahamu hayupo mount meru. Nimepata taarifa kutoka Arusha
 
Tahadhari imetolewa katoka mpuuzi mmoja kaenda huko kuishi na mgonjwa ili aambukizwe then aulete huku.
 
Huu ni uzembe ambao hatupaswi kuufumbia macho na wanaohusika wote wawajibishwe. Abiria Wanafika airport mnawaachia Kama mbuzi bila kuwaweka karantini kwa muda ili kutambua wenye maambukizi.

Bado serikali ya Tanzania haijachukua hatua madhubuti kuhakikisha wananchi tunajua salama. Sasa endelea kujifanya haupokei ushauri ndio utaona matokeo yake.
serikali ingemgundua yenyewe, I'm sure ingeendelea kuficha hakuna Corona Tanzania!
 
Back
Top Bottom