ichi kimama kiongo ichi kinatumika kama propaganda mouthpiece.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alivyopimwa(Corona) Pale KIA vilionyesha awali alikuwa negative. Alivyojisikia vibaya siku kadhaa baadae akaenda hospital ndo akagundulika kuwa na ugonjwa.Vipimo vipi.?? Vilivyosema mama hana mzigo???
[emoji23][emoji23][emoji23] chengachengaHuyu mama hajaamua kutuua mkuu. Huyu mama ameamua akimbie kuja home kwani huku corona ni mchumba tu. Angebakia huko si ajabu tungeisha sema RIP. Lakini kwa sasa mama amepepewa dawa ya mafua maarufu kwa jina la chengachenga yuko guuuuuda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuhusu watoto wako sio mpaka shule wakwambie wamefunga!!!
Chamsingi wazuie watoto wako kwenda shule mpaka pale Mambo yatakapokuwa shwari!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mama, mwanao atakuwa yuko salama
Hujaelewa nini?Umeandika nini sasa?
serikali ingemgundua yenyewe, I'm sure ingeendelea kuficha hakuna Corona Tanzania!Huu ni uzembe ambao hatupaswi kuufumbia macho na wanaohusika wote wawajibishwe. Abiria Wanafika airport mnawaachia Kama mbuzi bila kuwaweka karantini kwa muda ili kutambua wenye maambukizi.
Bado serikali ya Tanzania haijachukua hatua madhubuti kuhakikisha wananchi tunajua salama. Sasa endelea kujifanya haupokei ushauri ndio utaona matokeo yake.