Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Kwani shida ni nini?

 
Mimi nilihisi kuwa labda ni sababu Moshi kuna Joto Kali na Arusha kuna Baridi, na si unasikia kuwa Corona Viruse hawana ubavu Wa kuishi katika Joto Kali, Moshi Joto ni centigrade 32 na wako hawawezi kuishi katika note zaidi ya 20 c ,tunavyosikia. Je lina ukweli hili, wataalam tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maelezo yanaonyesha mgonjwa alipimwa hakukutwa na Corona KIA. Akaenda kukaa hotelini mpaka alipojisikia vibaya. Je kitendo cha kwenda hospitali mwenyewe si ni risk?. Wenzetu huko hufuatwa na Madokta walipo sisi kwetu wagonjwa ndo wafuate madokta.

We are not serious. Maelezo ya hatua za kuchukua ya waziri hayaoneshi tunadill vipi na wageni wanoingia nchini vipimo vinapaswa kuwa kwenye viwanja vya ndege vyote vya kimataifa na siyo kupeleka sampuli Dar. Aidha wageni wote inabidi wewe curanteined ili kwa siku kadhaa wakichunguzwa.
 
Habarini

Nasikia arusha Ni Hali Tete kweli kweli wa Arusha tupeni taarifa

Kilicho akilini kitumie
 
Mungu atuepushe asiongezeke mgonjwa mwingine
 
Tanzania wizara ya afya kuweni makini , mbona mnafanya uzembe ktk janga hili?!napima wageni kisha mnawaruhusu kuendelea Na shuguli zao badala kuwaweka chini ya uangalizi siku 14 kama wanavyo fanya kenya??!!! Vipi mnataka kutuambuliza sote?

Mungu tunusuru, kuna haja sasa serikali kuchukua hatua kama walivyo fanya kenya Na Rwanda
Mikusanyiko Na shule zifungwe, kupinguza uwezekano wa kuambukizwa
 
“Curanteined” siyo sahihi

“Quarantined” ndiyo sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…