DidYouKnow
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 1,229
- 1,950
Kwani shida ni nini?
Taarifa za habari zimethibitisha kuwa kuna mgonjwa mmoja Wa korona mwanamke Wa miaka 46 aliyesafiri kutoka Ubeligiji kuja Tz kupitia Kia.
Mwanamke huyu alilazwa katika hospitality ya Mount Meru lakini ghafla alihamishwa na kupelekwa Mawenzi Moshi, je ni kwa mini, wataalam watujuze
Sent using Jamii Forums mobile app