Hakuna alie salama..kila mtu azingatie usafi na kusali.
Swali moja tu, je kama huyu mwanamke alipita na hakugundulika...
Ni wangapi wamepita pia? Walikuwa wanaona sifa kusema tuko salama bila kuangalia tubabaki vipi salama
Huyu ameleta mbegu, unaambiwa aliondoka huku March, 3,wakati ambao Corona inatikisa bara Asia na Ulaya, then mwenye nyumba ameugua korona kaamua yeye kurudi, why asingekaa huko akajitazamia hali baada ya fazahaus huko kuugua. Nimekereka.... Huyu ametupa tabu watz sanaHuyu mama hajaamua kutuua mkuu. Huyu mama ameamua akimbie kuja home kwani huku corona ni mchumba tu. Angebakia huko si ajabu tungeisha sema RIP. Lakini kwa sasa mama amepepewa dawa ya mafua maarufu kwa jina la chengachenga yuko guuuuuda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuko makini mno!! Tumeweka wataalamu kwenye viwanja vyote vya ndege na mipakani, korona itapitia wapi?Huu ni uzembe ambao hatupaswi kuufumbia macho na wanaohusika wote wawajibishwe. Abiria Wanafika airport mnawaachia Kama mbuzi bila kuwaweka karantini kwa muda ili kutambua wenye maambukizi.
Bado serikali ya Tanzania haijachukua hatua madhubuti kuhakikisha wananchi tunajua salama. Sasa endelea kujifanya haupokei ushauri ndio utaona matokeo yake.
Hili ni swali la msingi sana.Kwa nini watu bado wanasafiri na hali ni mbaya hivi,
Sent from my typewriter using Tapatalk
Ni serikali ya ajabu sana hii!!!
Hatuna gari za kupuliza dawa..watu waliosoma medicine na wale engineers sijui kama wametengeneza japo mfumo ya kupuliza dawa .Tukisubiri msaada hakuna msaada rasmi kwa kuwa kila nchi inalia..msaada halisi ni kila mtanzania kubuni mbinu ya kuangamiza corona au kuenea kwake.Serikali umechukia hatua gani za kuhakikisha hatupati maambukizi? tutakufa kama wafuasi wa kibwetere haya maccm kichwani wanawaza Chadema tuu
Kenge kweliTahadhari imetolewa katoka mpuuzi mmoja kaenda huko kuishi na mgonjwa ili aambukizwe then aulete huku.
Hv kati ya corona na ebola ipi ni hatar zaid .View attachment 1390415
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko alikotoka vipi hawakumpima pia?
Tuko makini mno!! Tumeweka wataalamu kwenye viwanja vyote vya ndege na mipakani, korona itapitia wapi?
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Swali moja tu, je kama huyu mwanamke alipita na hakugundulika... Ni wangapi wamepita pia? Walikuwa wanaona sifa kusema tuko salama bila kuangalia tubabaki vipi salama
Na aliwasiliana na Ummy tangu akiwa nje, kumjulisha hofu. Ajabu anafika Kia anaenda Hotel kujifungia! Hatua za kupambana na ugonjwa hili kitaifa mh!1- Mgonjwa katoka ubelgiji kwenye inchi yenye wagonjwa wa COVID-19
2- Mgonjwa amekili kujua kuwa baba mwenye nyumba huko ubelgiji alikuwa mgonjwa wa COVID-19
3- Screening test pale KIA ilikuwa negative
4- Mgonjwa moja kwa moja akaenda Hotel na akajiwekea Isolation
5- Mgonjwa akaripoti hospitali kwa ajili ya sample /confirmatory? Na kweli ikawa positive....
"I'm missing my ass"
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni uzembe ambao hatupaswi kuufumbia macho na wanaohusika wote wawajibishwe. Abiria Wanafika airport mnawaachia Kama mbuzi bila kuwaweka karantini kwa muda ili kutambua wenye maambukizi.
Bado serikali ya Tanzania haijachukua hatua madhubuti kuhakikisha wananchi tunajua salama. Sasa endelea kujifanya haupokei ushauri ndio utaona matokeo yake.