Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Serikali umechukia hatua gani za kuhakikisha hatupati maambukizi? tutakufa kama wafuasi wa kibwetere haya maccm kichwani wanawaza Chadema tuu
Hakuna alie salama..kila mtu azingatie usafi na kusali.
 
Hii serikali imezembea hapa tukubali kwanza bado foreigners wanaingia ,pili hawawekwi karantini ni wanapita Kama mama juma kafungulia kuku asubuhi. Sasa tutapona kwa mpango huu?

Serikali wako busy kuhakikisha Chadema haifanyi mkutano
Swali moja tu, je kama huyu mwanamke alipita na hakugundulika...

Ni wangapi wamepita pia? Walikuwa wanaona sifa kusema tuko salama bila kuangalia tubabaki vipi salama
 
Huyu mama hajaamua kutuua mkuu. Huyu mama ameamua akimbie kuja home kwani huku corona ni mchumba tu. Angebakia huko si ajabu tungeisha sema RIP. Lakini kwa sasa mama amepepewa dawa ya mafua maarufu kwa jina la chengachenga yuko guuuuuda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ameleta mbegu, unaambiwa aliondoka huku March, 3,wakati ambao Corona inatikisa bara Asia na Ulaya, then mwenye nyumba ameugua korona kaamua yeye kurudi, why asingekaa huko akajitazamia hali baada ya fazahaus huko kuugua. Nimekereka.... Huyu ametupa tabu watz sana
 
Huu ni uzembe ambao hatupaswi kuufumbia macho na wanaohusika wote wawajibishwe. Abiria Wanafika airport mnawaachia Kama mbuzi bila kuwaweka karantini kwa muda ili kutambua wenye maambukizi.

Bado serikali ya Tanzania haijachukua hatua madhubuti kuhakikisha wananchi tunajua salama. Sasa endelea kujifanya haupokei ushauri ndio utaona matokeo yake.
Tuko makini mno!! Tumeweka wataalamu kwenye viwanja vyote vya ndege na mipakani, korona itapitia wapi?

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Mmeshaanza kupata jambajamba tulieni nyinyi
 
Serikali umechukia hatua gani za kuhakikisha hatupati maambukizi? tutakufa kama wafuasi wa kibwetere haya maccm kichwani wanawaza Chadema tuu
Hatuna gari za kupuliza dawa..watu waliosoma medicine na wale engineers sijui kama wametengeneza japo mfumo ya kupuliza dawa .Tukisubiri msaada hakuna msaada rasmi kwa kuwa kila nchi inalia..msaada halisi ni kila mtanzania kubuni mbinu ya kuangamiza corona au kuenea kwake.
 
Binafsi nilisikitishwa na kitendo Cha kuzuia vijana wantanzania waliokuwa masomoni China walioomba kurudi nyumbani, Wakati huo huo wageni toka mataifa yaliyoathiriwa na virus Hawa, wakawa wanaruhusiwa kuja nchini.

Ndipo nilipoiona serikali hii haiko serious Wala haina uchungu na raia wake. Kumekuwa na tishio la COVID-19, kwa Zaid ya miezi mitatu Sasa lakin hakuna program yoyote iliyoanzishwa na serikali kuwawezesha wataalam wa afya kukabiliana na ugonjwa huo ikiwemo CME.

Sasa bomu limelipuka, Waziri ndio anatangaza trainins za Medica personels on case management zianze. Kweli? Unajiandaa kwa Vita baada ya kupigwa? Kombania imepigwa the commanding officer ndo anatangaza mafunzo ya mbinu za kivita, sasa Mpka wanafunzi wawe fit si kikosi kitakuwa limekwisha?
 
Kwani ugonjwa unatoa taarifa saa ya kuingia.? Huwenda alipata maambukizi ndani ya ndege au dalili kuonekana akiwa safarini.kilichotakiwa ni serikali kuwaweka wageni sehemu maalum kwa muda ili kuwabaini waathirika.
Huko alikotoka vipi hawakumpima pia?
 
Siyo hakugindulika. Alikuwa na dalili ila kipimo hakikuonesha ka.a anaumwa. Hivyo akaachiwa aende zake kama swala. Hapo ndio utakapoona hii nchi ni takataka. Then akaja kurudi yeye mwenyewe ndio walipotuma sample dar majibu yakarudi positive.
Swali moja tu, je kama huyu mwanamke alipita na hakugundulika... Ni wangapi wamepita pia? Walikuwa wanaona sifa kusema tuko salama bila kuangalia tubabaki vipi salama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1- Mgonjwa katoka ubelgiji kwenye inchi yenye wagonjwa wa COVID-19
2- Mgonjwa amekili kujua kuwa baba mwenye nyumba huko ubelgiji alikuwa mgonjwa wa COVID-19
3- Screening test pale KIA ilikuwa negative
4- Mgonjwa moja kwa moja akaenda Hotel na akajiwekea Isolation
5- Mgonjwa akaripoti hospitali kwa ajili ya sample /confirmatory? Na kweli ikawa positive....

"I'm missing my ass"

Sent using Jamii Forums mobile app
Na aliwasiliana na Ummy tangu akiwa nje, kumjulisha hofu. Ajabu anafika Kia anaenda Hotel kujifungia! Hatua za kupambana na ugonjwa hili kitaifa mh!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huoni jamaaa kakimbilia Dodoma na mkewe
Huu ni uzembe ambao hatupaswi kuufumbia macho na wanaohusika wote wawajibishwe. Abiria Wanafika airport mnawaachia Kama mbuzi bila kuwaweka karantini kwa muda ili kutambua wenye maambukizi.

Bado serikali ya Tanzania haijachukua hatua madhubuti kuhakikisha wananchi tunajua salama. Sasa endelea kujifanya haupokei ushauri ndio utaona matokeo yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom