Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Mimi bado kuna kitu sielewi,kama kweli alifikia hotelini mbona hiyo hoteli haitajwi? Maana hadi muda huu hyo hoteli ilitakiwa iwe imefungwa..ila kwa tetesi nilizosikia ni kwamba alifikia kwake Njiro, na nyumba hyo imezuiliwa kwa sasa..
Hadi muda huu cbuga watu wamekua na tahadhari ya hali ya juu...Mungu atuepushe na hili balaa.
 
Mawenzi ndio kuna karantini ya wagonjwa wa Corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya ndiyo majibu simple ya Watanzania! Kila mkoa unatakiwa kuwa na garentini tena ikiwezekana ziwe nyingi ndani ya mkoa mmoja na siyo mkoa fulani uhudumie mikoa mingi! Wewe unaona ni sahihi mkoa mmoja uwe na garentini moja kwa ajili ya kuhudumia mikoa mingi?!
 
1. Watu wanamastory ya kila rangi
2. Wagonjwa ni zaidi ya hao mliowasikia
3. Mjini watu washavaa mask
4. Wachina wamegawa mask + gloves kwa watoto wa shule-freely
5. Pharmacy na supermarkets sanitizer na mask zimeanza kuadimika
6. Wananchi tunaogopa (sbb kirusi hakina dawa

NB. Mtuombee sana maana Arusha hakuna joto
Poleni mkuu,ila vipi usiku huu shule zinafanya kazi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi bado kuna kitu sielewi,kama kweli alifikia hotelini mbona hiyo hoteli haitajwi? Maana hadi muda huu hyo hoteli ilitakiwa iwe imefungwa..ila kwa tetesi nilizosikia ni kwamba alifikia kwake Njiro, na nyumba hyo imezuiliwa kwa sasa..
Hadi muda huu cbuga watu wamekua na tahadhari ya hali ya juu...Mungu atuepushe na hili balaa.
Poleni sana ndugu zetu.....Kwa jinsi mapokeo ya huu ugonjwa tulivyoletewa inazidi kuleta taharuki.... Mungu atuepushe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hodihodihodiii,mm mgeni humu jamani na kilichokifanya niombe kujiunga humu leo ni huu uzi,inauma Sana Ila basi tu,mtu anajijua ameishi na mgonjwa wa Corona huko,anapanda ndege nakuja huku na anafika anajifungia hotelini then eti baadae anajisalimisha ,kweli??

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweli inafikirisha,na ni Hoteli gani alifikia? Mbona haitajwi?
 
Kwakweli inafikirisha,na ni Hoteli gani alifikia? Mbona haitajwi?
Yaani mtu ujishuku kwamba ni mgonjwa na badala ya kuwahi hospitali eti unakwenda kujifungia hotelini?! Si bora hata angejisalimisha hapo hapo airport baada ya kuwasili.
 
Yaani inashangaza sana jirani, jirani zetu tayari wao badala ya kuchukua tahadhali wanacheka cheka tu, kama kusambaa ianzie kwao kuanzia baba yao nafamilia maana wengine hata passport hatuna, Trump kazuia watu kuingia hivyo vipesa vya utalii ndiyo vitamaliza umasikini, watu wanakera sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom