Rusumo one
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,458
- 4,283
Ugaha iyenaYaan hii Corolla Hii Nawaza Mimi pedee Fyali Fyangu Fidodo Hifyo Ndi Muyenu Ngogopa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ugaha iyenaYaan hii Corolla Hii Nawaza Mimi pedee Fyali Fyangu Fidodo Hifyo Ndi Muyenu Ngogopa.
Sent using Jamii Forums mobile app
No! Kila mkoa unatakiwa kuwa na garentini!
Hakuna point inaudhi Kama hii na mdangaji anaielezea kwa kujihami kabisa eti niliishi Nyumba moja na mtu Mwenye virus!!Na aliwasiliana na Ummy tangu akiwa nje, kumjulisha hofu. Ajabu anafika Kia anaenda Hotel kujifungia! Hatua za kupambana na ugonjwa hili kitaifa mh!
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya ndiyo majibu simple ya Watanzania! Kila mkoa unatakiwa kuwa na garentini tena ikiwezekana ziwe nyingi ndani ya mkoa mmoja na siyo mkoa fulani uhudumie mikoa mingi! Wewe unaona ni sahihi mkoa mmoja uwe na garentini moja kwa ajili ya kuhudumia mikoa mingi?!
Yaan wewe ni chizi kabisa umeniua Kwa kichekoI cant believe maisha yote nimesikiliza nasaha za mama za kutokujihusisha na uhuni nisuje nikapata HIV. Halafu leo nakuja kufa kwa mafua. That's not fair
Poleni mkuu,ila vipi usiku huu shule zinafanya kazi mkuu1. Watu wanamastory ya kila rangi
2. Wagonjwa ni zaidi ya hao mliowasikia
3. Mjini watu washavaa mask
4. Wachina wamegawa mask + gloves kwa watoto wa shule-freely
5. Pharmacy na supermarkets sanitizer na mask zimeanza kuadimika
6. Wananchi tunaogopa (sbb kirusi hakina dawa
NB. Mtuombee sana maana Arusha hakuna joto
Poleni sana ndugu zetu.....Kwa jinsi mapokeo ya huu ugonjwa tulivyoletewa inazidi kuleta taharuki.... Mungu atuepusheMimi bado kuna kitu sielewi,kama kweli alifikia hotelini mbona hiyo hoteli haitajwi? Maana hadi muda huu hyo hoteli ilitakiwa iwe imefungwa..ila kwa tetesi nilizosikia ni kwamba alifikia kwake Njiro, na nyumba hyo imezuiliwa kwa sasa..
Hadi muda huu cbuga watu wamekua na tahadhari ya hali ya juu...Mungu atuepushe na hili balaa.
Kwakweli inafikirisha,na ni Hoteli gani alifikia? Mbona haitajwi?Hodihodihodiii,mm mgeni humu jamani na kilichokifanya niombe kujiunga humu leo ni huu uzi,inauma Sana Ila basi tu,mtu anajijua ameishi na mgonjwa wa Corona huko,anapanda ndege nakuja huku na anafika anajifungia hotelini then eti baadae anajisalimisha ,kweli??
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora ungenyamaza kuliko kuonyesha umasikini wako wa akili.Acheni ujinga ninyi, hii ni JANJA JANJA YA CCM kutaka kumzuia Mhe Tundu Lissu asiweze kugombea Urais wala kukanyaga nchini. Amkeni.
Yaani mtu ujishuku kwamba ni mgonjwa na badala ya kuwahi hospitali eti unakwenda kujifungia hotelini?! Si bora hata angejisalimisha hapo hapo airport baada ya kuwasili.Kwakweli inafikirisha,na ni Hoteli gani alifikia? Mbona haitajwi?