Mbona wanasema airport wanapima yeye alipitaje?Yaani mtu ujishuku kwamba ni mgonjwa na badala ya kuwahi hospitali eti unakwenda kujifungia hotelini?! Si bora hata angejisalimisha hapo hapo airport baada ya kuwasili.
Puu.unga weweBora ungenyamaza kuliko kuonyesha umasikini wako wa akili.
Haraka Sana. Ameshindwa kumshauri mh. Rais. Anayoyaongea Ni aibu hasa yakiwafikia watu wanaojua. Najua kesho wataanza vitraining vya hapa na pale, kulazimishana watu waandae presentation za COVID-19, Wakati Mambo haya yalitakiwa yawe yamefanyika one,two month ago.
Huu ni uzembe ambao hatupaswi kuufumbia macho na wanaohusika wote wawajibishwe. Abiria wanafika airport mnawaachia kama mbuzi bila kuwaweka karantini kwa muda ili kutambua wenye maambukizi.
Bado serikali ya Tanzania haijachukua hatua madhubuti kuhakikisha wananchi tunajua salama. Sasa endelea kujifanya haupokei ushauri ndio utaona matokeo yake.
Ni taharuki kubwa sana. Mpaka sasa hamna sanitizer madukani. Foleni kwenye pharmacy na supermarkets. Watu wana hofu kubwa juu ya ugonjwa huu. Mungu yupo upande wetu na atatuokoa kwa mkono wake Mkuu!Habarini
Nasikia arusha Ni Hali Tete kweli kweli wa arusha tupeni taarifa
Kilicho akilini kitumie
Hivi unadhani Rais hakujulishwa hayo kabla? Tuna kichekesho Ikulu, kwa kweli awamu hii tumepatikana mno!I wish i could be Mh. JPM, leo leo ningemfukuza kazi moja kwa moja Waziri wa Afya na Naibu wake bila kusubiri kesho.
polisisiemi au?Mi nashangaa sana mpaka CORONA inaingianchini POLISI walikuwa wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya ndiyo majibu simple ya Watanzania! Kila mkoa unatakiwa kuwa na garentini tena ikiwezekana ziwe nyingi ndani ya mkoa mmoja na siyo mkoa fulani uhudumie mikoa mingi! Wewe unaona ni sahihi mkoa mmoja uwe na garentini moja kwa ajili ya kuhudumia mikoa mingi?!
Unafatilia update kweli wewe?Mimi bado kuna kitu sielewi,kama kweli alifikia hotelini mbona hiyo hoteli haitajwi? Maana hadi muda huu hyo hoteli ilitakiwa iwe imefungwa..ila kwa tetesi nilizosikia ni kwamba alifikia kwake Njiro, na nyumba hyo imezuiliwa kwa sasa..
Hadi muda huu cbuga watu wamekua na tahadhari ya hali ya juu...Mungu atuepushe na hili balaa.
Huyu waziri wa afya ni MD au ana level nyingine ya juu??Haraka Sana. Ameshindwa kumshauri mh. Rais. Anayoyaongea Ni aibu hasa yakiwafikia watu wanaojua. Najua kesho wataanza vitraining vya hapa na pale, kulazimishana watu waandae presentation za COVID-19, Wakati Mambo haya yalitakiwa yawe yamefanyika one,two month ago.
Kwanza kuwa na Waziri wa afya asiyejua hata Diclofenaic inatibu Nini, what does it tell?