Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Hivi pia ni kwa nini baada ya huyo mwanamama kujishuku kwamba ni mwathirika badala ya kuwahi hospitali yeye aliamua kwenda kujifungia hotelini?! Si bora hata angejisalimisha hapo hapo airport baada ya kuwasili.
 
Waziri wa afya unaongea Jambo la janga la la taifa kimzaha mzaha tu hivi unafikiri ni picha la kihindi hili?
 
Isolation ni lazima kwa kila Mkoa na hata wilaya
Hospital zote ziwe na tents au nyumba za dharura nje ya hospitali kuzuia magonjwa kusambaa
Ni lazima wataalamu wapewe nafasi ya kuongea ukweli na waandishi wawahoji sio kukimbilia kwenye press za Waimbaji na wanasiasa
Hili ni janga la Dunia na dunia nzima iko juu juu, Viongozi wote wako live kila wakati
Chief medical officers wanatoa ushauri ila sisi tunaona kawaida sana
Mataifa mengi uchumi umeanza kuyumba haswa na hela zinaelekezwa kuokoa maisha ya watu wao
Maabara wako 24/7 kutafuta chanjo ya maradhi Haya, sisi tutasubiri tuletewe baada ya maafa makubwa?


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Atumbuliwe au?

Sent using Jamii Forums mobile app
Haraka Sana. Ameshindwa kumshauri mh. Rais. Anayoyaongea Ni aibu hasa yakiwafikia watu wanaojua. Najua kesho wataanza vitraining vya hapa na pale, kulazimishana watu waandae presentation za COVID-19, Wakati Mambo haya yalitakiwa yawe yamefanyika one,two month ago.
Kwanza kuwa na Waziri wa afya asiyejua hata Diclofenaic inatibu Nini, what does it tell?
 
.
Huu ni uzembe ambao hatupaswi kuufumbia macho na wanaohusika wote wawajibishwe. Abiria wanafika airport mnawaachia kama mbuzi bila kuwaweka karantini kwa muda ili kutambua wenye maambukizi.

Bado serikali ya Tanzania haijachukua hatua madhubuti kuhakikisha wananchi tunajua salama. Sasa endelea kujifanya haupokei ushauri ndio utaona matokeo yake.
IMG-20200316-WA0082.jpeg


Jr[emoji769]
 
I wish i could be Mh. JPM, leo leo ningemfukuza kazi moja kwa moja Waziri wa Afya na Naibu wake bila kusubiri kesho.
 
Badala ya kuchukua hatua mapema yaani nchi utazani haina viongozi , tena Corona iwaanzie wale wote wanaoshindwa kuchukua tahadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini

Nasikia arusha Ni Hali Tete kweli kweli wa arusha tupeni taarifa

Kilicho akilini kitumie
Ni taharuki kubwa sana. Mpaka sasa hamna sanitizer madukani. Foleni kwenye pharmacy na supermarkets. Watu wana hofu kubwa juu ya ugonjwa huu. Mungu yupo upande wetu na atatuokoa kwa mkono wake Mkuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I wish i could be Mh. JPM, leo leo ningemfukuza kazi moja kwa moja Waziri wa Afya na Naibu wake bila kusubiri kesho.
Hivi unadhani Rais hakujulishwa hayo kabla? Tuna kichekesho Ikulu, kwa kweli awamu hii tumepatikana mno!
 
Hospital ya Mawenzi kuna yale majengo mapya yamejangwa na bado hayajaanza kutumika, naona baada ya janga hili kuanza nadhani wakaona watenge hayo majengo mapya kwa ajili ya dharura ya Corona.
Haya ndiyo majibu simple ya Watanzania! Kila mkoa unatakiwa kuwa na garentini tena ikiwezekana ziwe nyingi ndani ya mkoa mmoja na siyo mkoa fulani uhudumie mikoa mingi! Wewe unaona ni sahihi mkoa mmoja uwe na garentini moja kwa ajili ya kuhudumia mikoa mingi?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi bado kuna kitu sielewi,kama kweli alifikia hotelini mbona hiyo hoteli haitajwi? Maana hadi muda huu hyo hoteli ilitakiwa iwe imefungwa..ila kwa tetesi nilizosikia ni kwamba alifikia kwake Njiro, na nyumba hyo imezuiliwa kwa sasa..
Hadi muda huu cbuga watu wamekua na tahadhari ya hali ya juu...Mungu atuepushe na hili balaa.
Unafatilia update kweli wewe?
 
Haraka Sana. Ameshindwa kumshauri mh. Rais. Anayoyaongea Ni aibu hasa yakiwafikia watu wanaojua. Najua kesho wataanza vitraining vya hapa na pale, kulazimishana watu waandae presentation za COVID-19, Wakati Mambo haya yalitakiwa yawe yamefanyika one,two month ago.
Kwanza kuwa na Waziri wa afya asiyejua hata Diclofenaic inatibu Nini, what does it tell?
Huyu waziri wa afya ni MD au ana level nyingine ya juu??
 
Back
Top Bottom