InshaAllahKuwa imara best mtakuwa salama.
Swali moja tu, je kama huyu mwanamke alipita na hakugundulika... Ni wangapi wamepita pia? Walikuwa wanaona sifa kusema tuko salama bila kuangalia tubabaki vipi salama
Kwa usiku huu sijajua...ila mdogo wangu shuleni kwao wamezuiwa kutoka nje ya geti
Huenda kuna taarifa imenipita, naomba kueleweshwa.Asante.Unafatilia update kweli wewe?
1. Watu wanamastory ya kila rangi
2. Wagonjwa ni zaidi ya hao mliowasikia
3. Mjini watu washavaa mask
4. Wachina wamegawa mask + gloves kwa watoto wa shule-freely
5. Pharmacy na supermarkets sanitizer na mask zimeanza kuadimika
6. Wananchi tunaogopa (sbb kirusi hakina dawa
NB. Mtuombee sana maana Arusha hakuna joto
Kwa nyepesi zenye uhakika alifikia Pepe hotel, kahotel kadogo Uzunguni karibu na IkuluMimi bado kuna kitu sielewi,kama kweli alifikia hotelini mbona hiyo hoteli haitajwi? Maana hadi muda huu hyo hoteli ilitakiwa iwe imefungwa..ila kwa tetesi nilizosikia ni kwamba alifikia kwake Njiro, na nyumba hyo imezuiliwa kwa sasa..
Hadi muda huu cbuga watu wamekua na tahadhari ya hali ya juu...Mungu atuepushe na hili balaa.
Hotel imetajwa na imeshafungwaHuenda kuna taarifa imenipita, naomba kueleweshwa.Asante.
Rudi bana, we hutaki kumuona baby corona 😂😂
There is a difference between worry and concern.Ivi kumbe kuna miwatu mijinga kiasi iki[emoji38][emoji38]
Ko apo ndo umemaliza apo
Na conclusion yako ni kuwa corona sio hatari
Nyie watu vichwa vyenu mnavijua wenyewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Punga babako na ukoo wenu wote unafirw77 Walioko hai hadi walioko kaburini.Puu.unga wewe
Asante mkuu, nimepapata.Kwa nyepesi zenye uhakika alifikia Pepe hotel, kahotel kadogo Uzunguni karibu na Ikulu
Sent using Jamii Forums mobile app
Inashangaza.huko American wamezuia kabisa kuingia watu kutoka ulaya ambayo ni epicenter ya tatizo kwa sasa. Majirani zetu Kenya na Rwanda wamepiga marufuku kwa siku30 kuingia wageni na shule zimefungwa. Hapa kwetu hataki kushauriwa.pumbaaav
Unamchukia ili iweje?kwani hao waliopata huo ugonjwa sio binadamu kama wewe.kwani wewe una uspecial gani huo ugonjwa usikupate?Atimize wapi huyo wakati alitumia mbinu azijuazo kutuletea hili janga huku.
Soma vizuri hiyo taarifa inasema aliondoka TZ tarehe 5 mwezi huu kwenda kuzurura na kupiga selfie sweden, Denmark then Ubelgiji hata baada ya taarifa kibao kuwaasa watu wasisafiri.
Katambua kabisa ameishi na mtu Mwenye virus lakini still kaona asafiri Tena kutuletea na sisi zawadi ya Corona mpya kabisa aliyoenda kuitafuta kote huko.
Nimemchukia Sana huyo mwanamke
Sent using Jamii Forums mobile app
Mashoga mnahangaika namna hii kutafuta mabwana, eti?Punga babako na ukoo wenu wote unafirw77 Waliko hai hadi walioko kaburini.