Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Pole rafiki yangu, naogopa hadi kurudi huko
1. Watu wanamastory ya kila rangi
2. Wagonjwa ni zaidi ya hao mliowasikia
3. Mjini watu washavaa mask
4. Wachina wamegawa mask + gloves kwa watoto wa shule-freely
5. Pharmacy na supermarkets sanitizer na mask zimeanza kuadimika
6. Wananchi tunaogopa (sbb kirusi hakina dawa

NB. Mtuombee sana maana Arusha hakuna joto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi bado kuna kitu sielewi,kama kweli alifikia hotelini mbona hiyo hoteli haitajwi? Maana hadi muda huu hyo hoteli ilitakiwa iwe imefungwa..ila kwa tetesi nilizosikia ni kwamba alifikia kwake Njiro, na nyumba hyo imezuiliwa kwa sasa..
Hadi muda huu cbuga watu wamekua na tahadhari ya hali ya juu...Mungu atuepushe na hili balaa.
Kwa nyepesi zenye uhakika alifikia Pepe hotel, kahotel kadogo Uzunguni karibu na Ikulu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ivi kumbe kuna miwatu mijinga kiasi iki[emoji38][emoji38]

Ko apo ndo umemaliza apo
Na conclusion yako ni kuwa corona sio hatari
Nyie watu vichwa vyenu mnavijua wenyewe[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
There is a difference between worry and concern.
Most of you are worried about corona which does not help anything( ndo maana mmekazana kusema tutakufa kama nzige instead of bring the solution ,mnabaki mnatukanana tu kwenye huu uzi)
Being concerned is understanding something is there and taking proper measures .nahic tumeelewana genius

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ama hakika kwa hili waziri mwenye dhamana anatakiwa ajiuzulu kwa sababu ameshindwa kutekeleza majukumu yake kwa ufasaha.

Suala hili halihitaji siasa waziri wa afya alitakiwa kushirikiana na waziri wa mambo ya ndani kuratibu uingiaji wa wageni mipakani, viwanja vya ndege na bandarini sio tu kusema tusishikane mikono.

Pia hili la sampuli kupimwa Dar sijajua linakaaje kwa walio mbali na mji huo kwa zaidi ya km 1200

Rai yangu viongozi. wajipange kwa kila hali na kila namna na pia ndio wakati muafaka wa jeshi letu kulinda mipaka na utoaji huduma za dharura.....


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali ya ccm ilivyojaa wapumbavu sitashangaa kusikia hili tukio ni la kupangwa tu kuzima hotuba ya Mbowe na tukio la kina Halima Mdee na Bulaya kupigwa na askari magereza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inashangaza.huko American wamezuia kabisa kuingia watu kutoka ulaya ambayo ni epicenter ya tatizo kwa sasa. Majirani zetu Kenya na Rwanda wamepiga marufuku kwa siku30 kuingia wageni na shule zimefungwa. Hapa kwetu hataki kushauriwa.pumbaaav

Hao Rwanda waliopiga marufuku inakuwaje ndege zao zinakuja Tanzania? BTW huyo mgonjwa hakufika jana au juzi , Je, alikuja Tanzania lini kutoka nje?
 
Ni hataree...
IMG-20200316-WA0007.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atimize wapi huyo wakati alitumia mbinu azijuazo kutuletea hili janga huku.
Soma vizuri hiyo taarifa inasema aliondoka TZ tarehe 5 mwezi huu kwenda kuzurura na kupiga selfie sweden, Denmark then Ubelgiji hata baada ya taarifa kibao kuwaasa watu wasisafiri.

Katambua kabisa ameishi na mtu Mwenye virus lakini still kaona asafiri Tena kutuletea na sisi zawadi ya Corona mpya kabisa aliyoenda kuitafuta kote huko.

Nimemchukia Sana huyo mwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamchukia ili iweje?kwani hao waliopata huo ugonjwa sio binadamu kama wewe.kwani wewe una uspecial gani huo ugonjwa usikupate?
 
Anaweza kuwa kalipwa na Nani? Kwanini alipwe atuletee Sisi Corona? Ndio Vita ya kiuchumi? Wanatuonea gere sababu ya stiglazi goji au goma letu la umeme Dar - Dodoma dakika Tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom